taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu. Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
  2. GE2025 Tuendelee kushiriki mchakato wa uchaguzi mkuu ili tupige kura za uchafuzi mkuu wa taifa letu!!?

    Kushiriki Mchakato wa Uchaguzi kwa Mtanzania yeyote si jambo linaloepukika hasa kwa sababu huu ni msimu na wakati hasa wa uchaguzi, na kusema kweli kila siku ya kila wiki, ya kila mwezi, kwa kila mwaka tunafanya uchaguzi kwenye mambo mengi; isipokuwa uchaguzi Mkuu wa Taifa letu ilipaswa...
  3. Nchi yetu na taifa letu Tanzania

    Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu. Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na...
  4. Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  5. 4

    Nini kifanyike ili Taifa letu litoke kwenye mkwamo huu?

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo. Rejea mada tajwa hapo juu. Taifa kwanza Mengine badae wakuu. Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
  6. Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  7. Taifa letu linaendekeza masihara kwa faida ya nani?

    Wakuu ! Wasalaam wote nawasalimu kwa jina la Jamiiforums mahali ambapo tunathubutu kuzungumza kwa uwazi mitazamo na mawazo yetu. Shukrani zimwendee Kaka Maxence Melo kwa kutuleta hapa pamoja, watu wenye mawazo, hoja, fikra na maono tofauti. Nimelazimika kuanzisha huu uzi kwa lengo la kuyasema...
  8. Z

    Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
  9. MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  10. H

    Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  11. Maadai wapya wa Taifa letu ni hawa

    Uchawa! huu umekuwa mfumo mpya wa watu maarufu na makundi mengine ya watu wenye ushawishi hapa nchini kujitafutia kipato baada yakuishiwa maarifa katika taaluma zao husika.Uchawa umegeuka mfumo hatari zaidi wa watawala kueneza propaganda zao zakipumbavu na kijinga. Nyege! Nchi imegeuka...
  12. L

    Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote. Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya...
  13. P

    Kwa macho ya mwanadamu Dr. Mpango anaonekana ni mcha Mungu

    Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu. Umaskini wakutengenezwa unatuumiza sana. Watanzania tunaumia, 😭😭😭 Watanzania hatuna furaha kabisa,😭😭😭 Mioyo yetu imekufa ganzi 😭😭😭...
  14. PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
  15. K

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri. Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
  16. Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  17. Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  18. Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  19. A best way foward: Kwa yanayotokea na hatari iliyopo mbele yetu, tufanye haya kulikomboa Taifa letu.

    Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo. It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
  20. Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…