tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

    MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI Wizara ya Afya inathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 Tanzania bara. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya. Wagonjwa wapya leo ni 29 kwa bara na 6 kwa Zanzibar.
  2. JamiiForums Tanzania Unapoambiwa "baby, vyote ni vyako" nini tafsiri yake?

    Kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa wale wazoefu, nadhani wengi wetu tunapokuwa katikati ya faragha kuna haka kamsemo kanatokaga upande wa pili Baby chukua vyote ni vyako. Sasa ni kitafsiri neno "vyote" lina wingi ndani yake, na tafsiri hasa ni kipi na kipi naambiwa ni vyangu? Maana unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuokota mayai

    Habar wakuu, leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Tafsiri ya ndoto hii

    Jamani mimi nimeota ndoto "namuingilia msichana, ambae nina urafiki nae wa kawaida tu & wakat nafanya ivyo kulikuwa na kama vitu vyeupe vinatoka kwenye uke wake but mim sikujali nikawa naendelea tu na yng na nlipomaliza nkamuingilia pia na nyuma bila uoga wala hofu" .. Hii ndoto imenitia hofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…