tafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sanamu Yako Ni Ipi? Raha? Nguvu na Mamlaka? Pesa? Au Heshima na Umaarufu ?: Tafakari Kuhusu Vitu Vinavyotufunga na Kutufanya Tujute

    Moja ya mambo magumu zaidi maishani ni kuelewa kwa nini tunafanya mambo tunayofanya. Kwa nini tunachagua njia fulani badala ya nyingine? Kwa nini tunavutwa na vitu ambavyo baadaye vinatuletea majuto? Kwa nini mara nyingi tunajikuta tunarudia makosa yale yale licha ya uzoefu wa nyuma? Swali hili...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Kweli Umenasa au Umezoea Hali Ulionayo? Tafakari Kuhusu Maisha na Mabadiliko

    Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunajikuta tukihisi kama tumekwama mahali fulani—bila mwelekeo, bila maendeleo, na bila matumaini. Ni hali inayoweza kukufanya ujisikie kama dunia inasonga mbele bila wewe. Unafanya kazi kwa bidii, unafuata ratiba ile ile, lakini hakuna dalili za maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

    Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo. Galatians 5:22-23 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Tafakari! chukua hatua

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Jaribu kutafakari hili siku ya leo. Dunia ina maisha ya watu ya aina tatu tu. (Kundi A wazee wa tabu) 1. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata tabu tena, 2. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa wanaenda kupata raha. 3. Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye macho na masikio haambiwi tazama na sikia. Sitii neno hapa, tafakari mwenyewe

    Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv Kama muda wako hautoshi au MB chache anzia hapa. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=SGqFhc3PLBRo94Gi&t=788
  7. JamiiForums Tanzania Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
  9. JamiiForums Tanzania Tafakari: Mungu anayekataa zinaa anawabaliki watoto wa nje ya ndoa.

    Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
  10. JamiiForums Tanzania Unajuana na na nani ndio msingi mkuu, na sio unajua nini

    Unajuana na na nani ndio msingi mkuu na sio unajua nini Tafakari
  11. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa/olewa tafakari haya pamoja na mchumba wako

    ..
  12. JamiiForums Tanzania Wapo wengi wanaostahili ila sio kama zamani

    Wapo wengi wanaostahili ila sio kama zamani Tafkari
  13. JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  14. JamiiForums Tanzania Tafakari ya leo

    Huwezi kusifiwa una mbio kwenye janga la moto Kama umemuacha kilema nyuma yako Tafakari
  15. JamiiForums Tanzania Tafakari ya leo

    Kuna wakati unaweza kuwa Bora Ila mstari wa mafanikio hauvuki Tafakari
  16. JamiiForums Tanzania Tafakari ya Leo: Unaweza kupewa sifa sehemu ya kupewa pole tafakari

    Unaweza kupewa sifa sehemu ya kupewa pole tafakari
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito toka kwa Ansbert Ngurumo kwa upinzania, sikilizeni na tafakari

    Moderators please, can you spare this clip for the benefit of democracy and strong opposition parties! Makosa ya NCCR Mageuzi wakati wa MREMA LYATONGA yasirudiwe kamwe na upinzani. https://www.youtube.com/watch?v=ZkYXvbAX0mY Erythrocyte ,
  18. JamiiForums Tanzania Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  19. JamiiForums Tanzania "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…