tabianchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Benki ya Dunia kutoa Shilingi Bilioni 5 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
  2. Roving Journalist

    Waziri Shemdoe akutana na Balozi wa Norway kujadili namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
  3. M

    PreGE2025 Kwanini Vyama vya Siasa vinapaswa kujumuisha masuala ya Mazingira na mabadiliko ya Tabianchi kwenye Ilani za Uchaguzi 2025

    Katika kipindi hiki cha maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025, mjadala mkubwa unaendelea juu ya sera za vyama mbalimbali. Lakini swali la msingi ni: Je, vyama vyetu vya siasa vinatilia mkazo masuala ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi kwenye ilani zao? Kwa hali ya hewa inayozidi kubadilika...
  4. Roving Journalist

    Tanzania na Norway kuimarisha mahusiano katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Waziri Mhandisi Masauni akiwa ameambatana na Ujumbe wa Tanzania pamoja na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, amekutana na kufanya Mazungumzo na Bw. Bard Vegar Solhjell, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD) pamoja na Bi. Marita Sorheim Rensvik Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
  5. Pfizer

    NEMC yaitahadharisha Jamii kuhusu Majanga tarajiwa yatokanayo na Mvua pamoja na tabianchi

    Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira. Ameyasema hayo leo tarehe 02...
  6. Forgotten

    Je, binadamu wapo katika hatari ya kutoweka kwenye uso wa Dunia?

    Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi. Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
  7. Lady Whistledown

    Serikali iunde Sera nzuri za kuwalinda Wanawake dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi

    Wanawake mara nyingi wanashikilia nafasi muhimu katika familia na jamii, hasa katika nchi zinazoendelea, ambako wanahusika na majukumu ya kutafuta chakula, maji, na nishati (kuni) Majukumu haya yanawafanya kuwa miongoni mwa walio hatarini zaidi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi kama...
  8. Lady Whistledown

    COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  9. Lady Whistledown

    Mabadiliko ya Tabianchi huongeza uwezekano wa Wanawake na Wasichana kufanyiwa Ukatili wa Kingono

    Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii. Wanawake...
  10. Lady Whistledown

    PreGE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
  11. Lady Whistledown

    Ripoti: Mabadiliko ya tabianchi yanawasukuma katika Umasikini Wanawake zaidi kuliko Wanaume

    Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi. Ushahidi...
  12. The Sheriff

    PreGE2025 Ilani ya chama cha siasa unachokiunga mkono inazungumziaje utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi?

    Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa nchi yetu Tanzania. Katika muktadha wa kisiasa, ilani za vyama vya siasa zinachukua nafasi muhimu...
  13. MINING GEOLOGY IT

    Athari za mabadiliko ya tabianchi hususani mito kwenye swala la mafuriko

    Mito ni mwendo wa maji ambao unachukua maji kutoka maeneo ya juu kwenda maeneo ya chini kwa njia ya asili au ya kibinadamu. Kwa kawaida, mito huanzia katika vyanzo vya maji kama vile chemchem, maziwa, au barafu inayeyuka katika milima, na kisha maji hukusanyika pamoja na kuanza kusafiri chini ya...
  14. Yoyo Zhou

    Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  15. L

    Mabadiliko ya tabianchi yawafanya wanasayansi kuwa na wasiwasi zaidi kuhusu athari za sayari katika miaka ijayo

    Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita. Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
  16. Roving Journalist

    Naibu Waziri Hamad Chande akumbushia usimamizi wa fedha zinazotolewa kwa ajili ya kusimamia Maadiliko ya Tabianchi

    Wataalamu wa mazingira kutoka Nchi 10 za Afrika na wenzao kutoka mataifa ya Ulaya wamekutana Jijini Arusha kujadili namna bora ya uwajibikaji kwenye matumizi ya fedha zinazotolewa na Wahisani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya utunzaji mazingira ikiwemo mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huo...
  17. J

    Je, unajua namna Sekta Binafsi zinavyoshiriki katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi?

    JamiiForums wakishirikiana na Taasisi ya Wajibu wataangazia dhana nzima ya Mabadiliko ya Tabianchi, Athari zake pamoja na jitihada Mbalimbali zinazofanywa na Sekta Binafsi katika kukabiliana na Changamoto hii. Karibu ujiunge na ushiriki nasi kwenye Mjadala huu utakaofanyika siku ya Alhamisi ya...
  18. Miss Zomboko

    Africa Climate Summit 2023: Afrika hupoteza 5%-15% ya pato la ndani kila Mwaka kutokana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi

    Rais wa Kenya William Ruto amesema Mabadiliko ya Tabianchi yanatafuna maendeleo ya kiuchumi ya Afrika na ni wakati wa kuwa na mazungumzo ya kimataifa kuhusu kodi itakayotozwa wachafuzi wa mazingira. Kwa mujibu wa rais Ruto, bara linalokua kwa kasi la Afrika lenye wakazi bilioni 1.3 linapoteza...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  20. M

    SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
Back
Top Bottom