tabasamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa timu za wenzetu wanalia kwa kutoingia nusu fainali ila Taifa Star yetu ni full tabasamu ilipoishia

    Nimeona jinsi timu za Morocco, Egypt na leo Guinea walivyolia kwa kutoingia quarter final au semi final. Yaani wanaumia. Ila wachezaji wetu sikuwahi kuwaona wakisikitika kwa kutofanya vizuri
  2. JamiiForums Tanzania Unajua athari ya tabasamu lako kwa mke wako?

    Mwanamke! Kiumbe wa kipekee ambaye wanaume wengi hawajamfahamu kiusahihi! Mwanamke, kiumbe "dhaifu" lakini mwenye nguvu ajabu! Mwanamke ni kiwanda kinachoishi! Mpe mchele, atakurudishia ukiwa umegeuzwa na kupewa jina jingine, wali! Mhuzunishe, naye atakufanya "ulie" bila kupigwa! Mwanamke...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dugange Amshukuru Rais Samia Kurudisha Tabasamu Masaulwa

    Naibu Waziri Ofisi wa Tamisemi, Dk Festo Dugange amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe. Dk Dugange ametoa shukrani hizo wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  5. JamiiForums Tanzania Samia Love yarejesha Tabasamu kwa Wagonjwa wa Nyonga, Goti

    Wagonjwa walionufaika na matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti yaliyotolewa na jopo la madaktari wa mifupa na nyonga kutoka Los Angles, Marekani Agosti mwaka huu kupitia mpango wa 'Samia Love', wamerejesha tabasamu baada ya hali zao kuimarika. Wagonjwa 45 waliofanyiwa upasuaji huo wameanza...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Mzeru awapa tabasamu UWT Wilaya ya Morogoro Mjini

    MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI. MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Ziba pengo katika mawasiliano

    Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu Amtia Moyo Mwigulu Amuambia Awe na Ngozi Ngumu Tu

    MHE. TABASAMU HAMISI AMTIA MOYO MWIGULU AMUAMBIA AWE NA NGOZI NGUMU TU "Leo niko kizalendo zaidi, kuna watu ni majemedari wa kupiga kelele na kuzungumza sana maneno makali kwenye mitandao, Waziri Mwigulu maneno haya yangekuwa yanatoboa mwili wako leo ungekuwa umejaa Viraka na Bandeji mwili...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yaleta tabasamu na Matumaini kwa Wakulima

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo. Ikumbukwe ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…