tabasamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Samia Love yarejesha Tabasamu kwa Wagonjwa wa Nyonga, Goti

    Wagonjwa walionufaika na matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti yaliyotolewa na jopo la madaktari wa mifupa na nyonga kutoka Los Angles, Marekani Agosti mwaka huu kupitia mpango wa 'Samia Love', wamerejesha tabasamu baada ya hali zao kuimarika. Wagonjwa 45 waliofanyiwa upasuaji huo wameanza...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mzeru awapa tabasamu UWT Wilaya ya Morogoro Mjini

    MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI. MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
  4. DDAVYX

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ziba pengo katika mawasiliano

    Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu Amtia Moyo Mwigulu Amuambia Awe na Ngozi Ngumu Tu

    MHE. TABASAMU HAMISI AMTIA MOYO MWIGULU AMUAMBIA AWE NA NGOZI NGUMU TU "Leo niko kizalendo zaidi, kuna watu ni majemedari wa kupiga kelele na kuzungumza sana maneno makali kwenye mitandao, Waziri Mwigulu maneno haya yangekuwa yanatoboa mwili wako leo ungekuwa umejaa Viraka na Bandeji mwili...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yaleta tabasamu na Matumaini kwa Wakulima

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo. Ikumbukwe ya kuwa...
Back
Top Bottom