tabasamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi? Mbona kama kakata tamaa? Je anataka kutukimbia watanzania? Anataka kwenda wapi?
  2. figganigga

    Eti Mwiguli Nchemba karudisha Tabasamu Monduli. Nani aliliondoa? Ujinga Mtupu😏😏

    Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka. Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi.. Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya...
  3. L

    Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  4. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Rais Samia amerejesha tabasamu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ukarabati wa Soko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shingi Bilioni 28 zilizorejesha tabasamu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo ambazo...
  5. L

    Rais Samia Awakomba Maelfu ya Vijana Mitaani Na kuwapa Ajira Nono serikalini. Ni Tabasamu na Furaha tu kwa vijana na Wazazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana kila sababu ya kusema asante Mama kwa moyo wako wa upendo na huruma kwa vijana . Mama na Rais wetu...
  6. JOHNGERVAS

    Mrejesho wa Zoezi la Kutoa Tabasamu Tarehe 24 Desemba

    Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
  7. B

    Picha: Bashasha na tabasamu za JK zageuka uso wa ndita na hatia

    Bashasha na tabasamu siku alipoihondomola CCM kwa kulazimisha jina la ampendae yeye lipite bila mchakato... Kikaja kikaharibika.... Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
  8. October 2pm

    Nani asiyejua Mr. Tabasamu ndiye yupo nyuma ya maandamano ya 29 October

    Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga. Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka...
  9. October 2pm

    GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

    Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe. Kama unafikiri 2030 utamweka yule kijana wako hilo wazo futa. Nitazame hivihivi ukiniona. Habari...
  10. DuaZaMama

    Chid Benz aruhusiwa kutoka Sober House

    Msanii Mkongwe Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufu kama Chidi Benzi ameruhusiwa kurejea uraiani na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya wakishirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa walioshiriki kumpeleka katika Nyumba ya Matibabu kwa walioathirika na Madawa ya Kulevya (Sober...
  11. Dear_me_

    Nyuma ya Tabasamu Kuna Machungu Yasiyoelezeka. Tumebeba Ndoto za Wengi Nyuma Yetu

    Wakuu mambo vipi Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu unataka upambane mwnywe kwa ajili ya maisha. Yako 🌍 Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao...
  12. L

    GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  13. DR HAYA LAND

    Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  14. GENTAMYCINE

    Mama mpende tu huyo Baba, ila ndiyo anakuumiza japo anakudanganya kwa Stori zake pamoja na Tabasamu lake la Kimafia

    Hapa namzungumzia Mama kama Mama na Baba kama Baba tuelewane tafadhali.
  15. L

    Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  16. Idugunde

    Tabasamu la Lissu kama la Nelson Mandela. Mpigania haki ni mpigania haki tu

    Highly spirited Tundu Lissu like Nelson Mandela
  17. L

    Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  18. Zirconium

    Tumefanikiwa kurudisha tabasamu Lililopotea toka 2012!

    Wakubwa habari Leo tulipata Ugeni offisini kwetu Kutoka kwa Mtu Wa JF akisema Ameona tangazo la huduma zetu humu Hivyo Tukampokea alieleza shida yake aweze kutatuliwa ( Mapengo Kinywani kwa kukosa meno ) Hivyo Faida za kuweka Meno bandia .Utaweza Kutafuna chakula Vizuri . Utaweza Kujiamini...
  19. L

    PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  20. W

    PreGE2025 Dkt. Tulia atoa misaada kwa wananchi wenye uhitaji Ilomba

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imefika Kata ya Ilomba na kuwapa msaada wa mavazi wananchi 22 wenye uhitaji. Leo 23 Machi 2025 Tulia...
Back
Top Bottom