Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha
Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
cori
habari
haki
haki ya kupata taarifa
kupata
na vyombo
serikali
taarifa
taasisitaasisi za umma
uhuru
umma
viongozi
vyombo vya habari
walaani
wanahabari
Habari ? Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na michakato ya Kuhama kupitia Uhamisho_ Mfano Mtu anaeomba kuhama kutoka halmashauri 'z' kwenda taasisi za elimu ya juu mfano Udom, Udsm,Mwalimu Nyerere,Cbe,Mzumbe,Ardhi, Isw, n.k baada ya barua yake kupitishwa na mwajiri wake kwenda taasisi husika_ Je...
Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, zikisema tume hizo...
Kero yangu naipeleka kwenye Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training tangu mwezi wa 10 Mwaka 2025 na nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training.
Sasa imepita miezi 5 tangu niombe kusoma, wamekuwa na majibu mepesi kiasi kwamba hawaoni umuhimu wa...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa
kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma.
Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto watamaliza shule ya msingi wakiwa wadogo wengi katika wastani wa miaka 10 mpaka 11.
Hivyo, wazazi...
Anonymous (e1e0)
Thread
dodoma
mashirika
mkubwa
shule
taasisi
uhitaji
uhitaji mkubwa
Yaani unafanya maombi ya kitu flani kwenye taasisi ambacho utalazimika kukilipia kwa kupata Control number, sasa ili upate Control number inakulazimu tena utoe RUSHWA ili utolewe Control number haraka ukalipie uendelee na mambo yako mengine.
Hizi ni Taasisi ambazo wafanyakazi wake wanalipwa...
1. Wakala wa vipimo (WMA).
Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji.
Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56.
Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya hadi Sh. bilioni tano.
Hatua hiyo inakuja kufuatia kuanza kwa utekelezaji kamili wa Sheria ya...
Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
Anonymous
Thread
ajira
bila
mrefu
muda
muda mrefu
taasisi
tawa
vijana
watalii
Serikali ni chombo muhimu katika kusimamia maendeleo ya taifa, kulinda usalama wa raia, na kuhakikisha utoaji wa huduma za kijamii. Hata hivyo, kadri serikali inavyokuwa kubwa kupita kiasi, ndivyo inavyoongeza gharama za uendeshaji, hali inayoweza kuathiri uchumi wa nchi. Kwa muktadha wa...
WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI
▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini
▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu.
Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo.
Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
Wakuu kwema?
Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi
Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu
Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
Naomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?
1. BRT - barabara ya mwendokasi
2. SGR
3. MGR
4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
5. Miundombinu ya reli
6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi.
Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii.
Kila tukifuatilia kupata...
Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...