taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katavi: Dereva aliyetoa taarifa ya Basi lake analoendesha kuwa bovu afukuzwa kazi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimechukizwa na kitendo cha baadhi ya wamiliki wa mabasi kuwafukuza madereva kwa kudaiwa kutoa taarifa kwa mabasi mabovu kwa Vyombo vya Usalama Barabarani ambapo limesisitiza sheria kali kuchukuliwa dhidi ya mmiliki atakaye mfukuza dereva. Deus...
  2. JamiiForums Tanzania Dokta Janabi aweke mfumo nzuri wa taarifa za tahadhari za afya..

    Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali.. Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi waweke mfumo nzuri wa taarifa......ili mtu akihitaji source iwepo...na asitokee mtu akapotosha ..hizo...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  5. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

    SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura. Ripoti...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Yafahamu majukumu ya Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 imeanza kutumika rasmi Mei 2023 ambapo pamoja na kuwepo kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutakuwepo na Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo itakuwa ni chombo cha usimamizi wa Tume. Hata hivyo, ili kudumisha uadilifu wa Tume na...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Taarifa za kiutumishi wa walimu katika Tume ya Utumishi "TCSMIS" na Shahada za uzamiri

    Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma mikononi mwa walaji. Masikitiko yangu makubwa ni kuona mfumo huu muhimu wa Taarifa za walimu ukiacha ombwe...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

    Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano! Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua habari na taarifa potofu Mtandaoni-Taarifa tam tam au yenye kutia hasira.-Vidokezo kutoka kwa Wataalamu wa Saikolojia

    Je Ushawahi kukutana na Taarifa tamu tamu mtandaoni au taarifa ambazo zilikufanya ujisikie kutamani, hasira, chuki, au hofu? Basi hauko peke yako. According to Scientist, wataalamu wa saikolojia, watu wengi ni wahanga wa wa habari potofu mtandaoni. Hatahivyo, cha muhimu ni kutokupanic au...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Al Jazeera hizi taarifa tutawaamini vipi? Zaidi ya Wapalestina 19,000 wameuawa toka Vita ianze?

  13. JamiiForums Tanzania Napendekeza nguzo zote za umeme zichukuliwe GPS coordinates, na zifungwe sensor , taarifa zote zilishwe kwenye mfumo wa Geomap ya Tanesco.

    Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme. Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Wizara ya Afya, Nactevet na Serikali kwa ujumla

    TAARIFA KWA WIZARA YA AFYA, NACTEVET,SERIKALI NA WANANCHI WOTE KUHUSU CHUO CHA ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE KILICHOPO MOROGORO MANISPAA. Nikiwa kama mdau wa elimu napenda kueleza mambo mchache juu ya mwenendo mzima wa chuo cha ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uingizaji wa taarifa (data clerk) na ukusanyaji wa taarifa (data collection)

    Habari wanajamii, naombeni connection za upatikanaji wa ajira za data clerk, data collection na zingine zinaxohusiana na maswala ya data. Ninauzoefu wa matumizi ya komputer na elimu ya diploma ya project management. Asanteni
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya Houthis yarusha makombora ya ballistic Israel

    Wanaukumbi. BREAKING - OFFICIAL STATEMENT BY YEMEN'S HOUTHIS: BALLISTIC MISSILES LAUNCHED AT ISRAEL "With the help of God Almighty, the missile force of the Yemeni Armed Forces launched a batch of ballistic missiles at military targets of the Israeli entity in the Umm al-Rashrash area, south...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake. Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia 27 - 29 Novemba, 2023

    📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 . #CCMImara #VitendoVinaSauti #KaziIendelee
  20. JamiiForums Tanzania Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

    Kumradhi kwa taarifa ya mwanzo niliyoleta kwenye uzi uliopita. Clemence alikuwa mmoja kati ya watu waliouawa kwenye uvamizi katika kibbutz Nahal Oz October 7 mwaka huu. Inavyoonekana ni kwamba watu wengi ambao ni raia wa Israel au raia wa nje bad hawajulikani walipo. Mfano mwanadada Shani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…