taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa na Athari Zake kwa Haki katika Jamii

    Taarifa sahihi ni msingi muhimu katika kuhakikisha haki zinapatikana katika jamii zetu. Hata hivyo, upotoshaji wa taarifa ni tatizo linaloweza kusababisha ukosefu wa haki kwa baadhi ya watu. Mathalani, katika vyombo vya utoaji haki kama Mahakama, taarifa potofu zinaweza kupelekea kutoa hukumu...
  2. JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi: Kikokotoo ni kero kubwa, nitamfikishia taarifa Rais Samia

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu. Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili...
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Singida FG Hussein Massanza tunasubiria Matokeo ya Taarifa yako kuwa kuna 'Hujuma' ilifanyika kabla hamjacheza na Yanga SC jana

    Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
  4. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa huweza kufanya kupitia kutengeneza nukuu potoshi za watu maarufu

    Mitandao ya kijamii imejaa nukuu za Wataalamu na watu maarufu mbalimbali kutoka katika nyanja mbalimbali. Watu wanaweza kupotosha taarifa kwa kutengeneza nukuu zisizo za kweli au kuzibadilisha nukuu za watu fulani ili zifanane na mtazamo wao au kusudi lao. Wapotoshaji huzitengeneza na kudai...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA MVUA NA MAAFA YA MAFURIKO NCHINI
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya taifa ya Maafa imetembelea Rufiji na Kibiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  9. JamiiForums Tanzania Wakusanyaji na Wachakataji wa Taarifa Binafsi Tanzania watakiwa kuanza kujisajili kwenye Mfumo wa Tume

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
  10. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia (Wanawake)

    Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia kwa njia kadhaa: Kueneza Habari Potofu Kuhusu Wagombea wa Kike: Wakati mwingine, habari potofu zinaweza kutolewa kuhusu wagombea wa kike ili kuwaharibia sifa zao au kuwadhalilisha. Hii inaweza kujumuisha kusambaza...
  11. JamiiForums Tanzania Tafuta taarifa sahihi ya chama au mgombea kabla ya kuamua kumchagua

    Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao. Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuchelewa kulala mara kwa mara huongeza hatari kupoteza maisha mapema

    Ninaomba kufanyiwa uhakiki wa taarifa kuwa 'Watu wanaochelewa kulala wapo hatarini kupoteza maisha mapema'
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili imeambatanishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024. Jina la Bwana lihimidiwe
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini NIDA inalipisha 500 TZS kupata taarifa zetu?

    Kwa muda mrefu sasa ,serikali imekua ikitoa matamko kua inataka watanzania watambulike kwa utambulisho sahihi , kwa nchi yetu Tanzania NIDA wamejitahidi sana tumepata vitambulisho karibu asilimia kubwa ya Watanzania. Kinachofanyika kwa sasa ,kampuni yeyote ikitaka kufanya name...
  18. JamiiForums Tanzania Aprili 2: Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa

    Aprili 2 kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa ili kuongeza uelewa na umuhimu wa kuhakiki na kuthibitisha ukweli katika taarifa zetu za kila siku. Katika ulimwengu uliojaa taarifa za haraka na mara nyingi zenye utata, uhakiki unakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu. MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu. Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…