Baada ya kukutana na taarifa yoyote unayoitilia shaka, kuna hatua kadhaa unaweza kuchukua ili kujiridhisha uhalali wa taarifa hiyo. Kuchukua hatua za haraka na kutoa habari sahihi ni muhimu ili kuzuia kuenea kwa habari feki au gushi.
Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua unapokutana na taarifa au...