taaluma

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Iamxyz

    Taaluma kwa Viongozi

    Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
  2. Mhaya

    Taaluma za Afya zinazomuwezesha mtu kujiajiri mwenyewe, bila kusubiri kuajiriwa

    Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara). 📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA ZAKE ZA KUJIAJIRI 1. Pharmacist (Mfamasia) Huyu ni mtu aliyesomea kuhusu Dawa za magonjwa ya...
  3. R

    PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021. She graduated in law in 2018 from the online Open...
  4. Masalu Jacob

    Je, kuna shida yoyote kuanza kujifunza Taaluma na Ujuzi ngazi ya Shule ya Msingi

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
  5. Mhaya

    Taaluma ya Uwakili ndio watu wake wanaongozwa kwa kufungwa gerezani au kutafutwa na polisi

    Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui...
  6. Desierto

    Ifike mahali serikali iache kutoa maagizo kwenye mambo yanayo hitaji taaluma

    Et unasikia kiongozi flani anampa maagizo kiongozi wa ngazi au taasisi flani, inamaana hiyo tasisi haijitambua kabisa mpaka ifanye kazi kwa maagizo na maelekezo. Basi kuna haja gani ya kuajiri wasomi ninasema hivyo baada ya kuona baadhi za kesi za kuonewa mpaka watu wapewe maagizo ndiyo haki...
  7. jamaikatz

    Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

    Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je??
  8. M

    Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

    Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
  9. chiembe

    TCU inalinda namna gani ajira za waalimu wa vyuo vikuu binafsi "wanaokaza" katika taaluma ya wanafunzi, nasikia huwa wanatemwa kwa zengwe

    TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo "kinamtema" ili wateja(wanafunzi) wabaki. Je kuna namna dispute ya mwalimu na chuo juu ya academics inaweza...
  10. L

    Usawa kwa Waandishi wa Habari: Wabunge Wanahitaji Elimu ya Msingi Tu, Lakini Waandishi taaluma Certificate etc.? Hii Sio Haki! Uchaguzi 2025

    Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya changamoto kubwa inayopaswa kushughulikiwa kwa dharura ni tofauti kubwa ya viwango vya elimu vinavyohitajika...
  11. TODAYS

    Taaluma Gani Hapa Inalipa?. Mdogo Wenu Anaomba Ushauri

    1. Server. 2. Programming. 3. Networking. 4. Maintenance.
  12. Baraza la Famasi Tanzania

    Mitihani ya Taaluma inaendelea kwenye vituo vya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha

    Zoezi la uendeshaji wa Mitihani ya taaluma kwa wafamasia, fundi dawa sanifu, fundi dawa wasaidizi na watoa dawa likiendelea kwenye vituo vilivyopo katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha. Mitihani hii ilianza tarehe 09 Julai 2025 na itamalizika tarehe 11 Julai, 2025.
  13. Baraza la Famasi Tanzania

    Ratiba ya Mitihani ya Usajili na Taaluma kwa Wahitimu wa Kozi za Famasi kufanyika 09 – 11 Julai 2025

    Taarifa ya Vituo vya kufanyia Mitihani ya Taaluma Baraza la Famasi linapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kozi za famasi waliowasilisha maombi ya kufanya mitihani ya usajili na ya taaluma kuwa, mitihani hiyo imepangwa kufanyika tarehe 09 – 11 Julai, 2025 kuanzia Saa 02:00 asubuhi kwa utaratibu...
  14. M

    Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  15. JanguKamaJangu

    Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  16. Dalton elijah

    Matumizi ya Akili Mnemba Kwenye Taaluma ya Habari

    Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi habari zinavyokusanywa, kuchambuliwa na kusambazwa. Wakati maendeleo haya yana ahadi ya ufanisi zaidi...
  17. Dalton elijah

    Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  18. D

    Udalali iwe taalamu rasmi

    Wakuu mi nimeona kuwe na degree ya udarali (WA vyumba/nyumba na vitu vingine mbali mbali vinavyouzwa au kukodishwa ) yaani iwekewe syllabus watu wasome.nimetoa Aya maoni kwa sababu nimeon hii kazi inasaidia maisha ya VIJANA wengi mjini hasa wasomi majobless🤣🤣 Au wakuu mnasemaje ata ikiwekwa veta...
  19. Blasio Kachuchu

    Waajiri wathamini taaluma ya uandishi wa habari- Dkt. Mkoko

    Na Mwandishi Wetu. BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo...
  20. Stroke

    Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

    Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria. Taifa lenye uchumi mkubwa na...
Back
Top Bottom