syria

  1. JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

    Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti, anazirejesha ili walau zimsaidie kupunguza balaa wanazopokea.... Satellite imagery confirmed Russia...
  4. JamiiForums Tanzania Israeli air strikes in Syria kill three soldiers: State media

    Latest Israeli strikes target sites around the capital Damascus and south of the coastal Tartus province. Israeli Air Force F-16 D fighter jet taking off at the Ramat David Air Force Base located in the Jezreel Valley Israeli air strikes on Syria killed three soldiers and wounded three others...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yaiba na kutorosha mafuta na ngano kutoka Syria na kuuza

    Syria Wednesday accused the U.S. of smuggling oil out of the country via an illegal crossing into Iraqi Kurdistan. Syrian Ministry of Oil and Mineral Resource reported that more than 80 percent of its oil was plundered by U.S. occupying forces. According to data from the Ministry of Oil and...
  6. JamiiForums Tanzania Syria, Uturuki zilikuwa Christian Countries kabla ya Uislamu

    Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries. Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority. Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel akiri kuwa S-300 ya Urusi iliiona na kuishambulia ndegevita ya Israel F-35 (Stealth Fighter🤣🤣) huko Syria

    Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

    Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria. Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

    Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia. Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Arab League hawasulihishi Yemen, Syria

    Umoja huu wa nchi za kiarabu hawasulihishi mgogoro Syria na Syria?
  11. JamiiForums Tanzania Urusi inaripotiwa kuwaajiri mamluki wa Syria

    Urusi inawaajiri Wasyria wenye ujuzi katika mapigano ya mijini kupigana nchini Ukraine huku Moscow ikijiandaa kwa mapigano makali ya barabara hadi mtaa katika harakati zake za kuteka miji mikubwa ya Ukraine, maafisa wa Marekani wameliambia jarida la Wall Street Journal. Maafisa wa kijasusi...
  12. JamiiForums Tanzania Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela

    Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi. =========== Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Syria kujibu mashambulizi ya anga

    Jeshi la Israel limesema lilishambulia betri za makombora nchini Syria baada ya kombora la kutungulia ndege kurushwa kuelekea Israel wakati ambapo televisheni ya taifa ya Syria iliripoti kuwa ni shambulio la awali karibu na Damascus Shirika la Reuters linaripoti . Msemaji wa jeshi alikataa...
  14. JamiiForums Tanzania Mamia ya watoto watoweka jela nchini Syria

    Mamia ya wavulana wametoweka kwenye Gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS na familia zao. Hii ni baada ya wanajeshi wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wakipigana na wanamgambo wa IS kwa siku kumi ili kuikomboa jela hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Israel yashambulia ngome ya Iran huko Syria

    Mashambulizi hayo yasababisha mlipuka mkubwa! Syria’s military said Israeli warplanes fired missiles on the port of the coastal city of Latakia early Tuesday without inflicting any human losses. -------- Syria’s state media quoted an unnamed military official as saying that several missiles...
  16. JamiiForums Tanzania Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi. Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania US to face repeat of its fate in Afghanistan if it doesn’t leave Syria: FM

    Syrian Foreign and Expatriates Minister Faisal Mikdad warns the United States to pull out its forces from the Arab country before facing a repeat of its fate in Afghanistan. Mikdad made the comment during an interview with Russia 24 television channel on Friday, adding, “The presence of US...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabaharia kutoka Syria waliokwama katika Bandari ya Mombasa wauza meli yao

    Mwenye meli aliwatelekeza mabaharia hao tisa na kukataa kuwalipa mishahara yao. Mabaharia hao kutoka Syria wamekwama katika bandari ya Mombasa kwa muda wa mwaka moja na miezi tisa. Mahakama ya Kenya imewaruhusu kuuza meli hio na kujilipa mishahara ambayo mwenye meli alikataa kuwalipa. Meli hio...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Syria kufunguliwa mashtaka nchini Uingereza

    Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya wananchi wa Syria, mashtaka yaliyofunguliwa dhidi yake nchini Uingereza. Asma ambaye ana uraia...
  20. JamiiForums Tanzania Vita vya miaka 10 vyaua watu wapatao 400,000 Syria

    Idadi ya watu waliokufa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria imekaribia laki nne tangu vilipoanza muongo mmoja uliopita, na hadi sasa hakuna ishara ya lini vitamalizika. Kwa mujibu wa Shirika la Kufuatilia Haki za Binaadamu la Syria lenye makao yake nchini Uingereza, idadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…