Pigo jingine kubwa kwa Wairan wampoteza Kamanda wao mkubwa huko 'Syria Drone' yatumika

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,756
Kabla hawajamaliza Msiba mkubwa wa Mohsen Fakhrizadeh Masikini wanywa Damu Iran wamepatwa na Msiba Mwingine Nchinii Syria baada ya Kamanda wao Mkubwa Muslim Shahdan kuuliwa na Ndege ndogo isiyo na Rubani katika mpaka wa nchi ya Iraq na Syria akiwa ndani ya gari . as usual Iran Atamsingizia Israel tu. Its time kwa Iran kuomba Amani la sivyo Wananchi wao watawachoka na propaganda za kipumbavu za Ayatollah.

Report: Senior Revolutionary Guards commander killed in drone strike
Iranian Revolutionary Guards commander Muslim Shahdan killed in a vehicle near the Iraq-Syria border.

Tags: Drone Strike Iranian Revolutionary Guard

Arutz Sheva Staff , Nov 30 , 2020 7:56 PM

Drone (illustration)
Drone (illustration)
Moshe Shai / Flash 90

A senior Iranian Revolutionary Guards commander was eliminated in a drone strike along the Syria-Iraq border Sunday, Al Arabiya reported.

According to the reports, Muslim Shahdan was killed when a drone destroyed his car. A Syriaj source denied to Al Mayadeen that a Revolutionary Guards commander was killed near the border.

The killing of Shahdan comes days after the assassination of Mohsen Fakhrizadeh, Iran's top nuclear scientist. Iran has accused Israel of orchestrating Fakhrizadeh's assassination, with the Iranian Fars news agency claiming that the attack was carried out with the help of "a remote controlled automatic machine gun" mounted on a pick-up truck.

NOVEMBER 30, 202010:54 PMUPDATED 18 MINUTES AGO

Air strike kills IRGC commander at Iraq-Syria border - Iraqi officials​

By Reuters Staff
2 MIN READ

BAGHDAD (Reuters) - An air strike killed a commander of Iran’s Revolutionary Guards at the Iraq-Syria border sometime between Saturday and Sunday, Iraqi security and local militia officials said on Monday.
They could not confirm the identity of the commander, who they said was killed alongside three other men travelling in a vehicle with him.
The vehicle was carrying weapons across the Iraqi border and was hit after it had entered Syrian territory, two Iraqi security officials separately said.
ADVERTISEMENT

Iran-backed Iraqi paramilitary groups helped retrieve the bodies, the two officials said, without elaborating or giving the exact time of the incident.

Local military and militia sources confirmed the account, although Reuters was unable to verify independently that an Iranian commander had been killed.

The incident came just days after Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh was assassinated in Tehran in a killing that Iran has blamed on Israel.


Israel launched air raids against what it called a wide range of Syrian and Iranian targets in Syria last week, signalling that it will pursue its policy of striking Iranian targets in the region as U.S. President Donald Trump prepares to leave office.

Iraqi officials fear a conflagration ahead of President-elect Joe Biden taking office because he is viewed as less confrontational with Iran than the Trump administration.

Iran-backed Iraqi militias are still reeling from the U.S. assassination of Iranian military mastermind Qassem Soleimani in January and their Iraqi leader Abu Mahdi al-Muhandis and have vowed revenge against the United States.

Reporting by Ahmed Rasheed, John Davison and Kamal Ayash in Falluja; Editing by Tom Brown
 
Huwezi ukatishia kuifuta kwenye ramani ya Dunia Israel alafu ukategemea waache kujilinda, Israel ishaonja joto la Adolf hitler kwahiyo hawawezi kubali kuangamizwa teena......Mchawi wa Iran ni Ayatollah na Regime yake, otherwise persian people are very kind and Good.
 
Naona tangu US aoneshe inawezekana kuwaondoa hawa jamaa mmoja baada ya mwingine baada ya kumuondoa Qassim Souleman kule Iraq naona wengine wameiga (inaweza ikawa Israel, US mwenyewe tena au hata wale ambao hawaivi nao yaani waSunni. Kabla maumivu ya Fakhrizadeh hayajapoa , watu wameondoa Shahdan.
 
Huku Ayatollah anataka aishike na kuikontrol dola ya kiislam duniani kwa mwamvuli wa Ushia na kuiangusha SaudiArabia..
Huku tena Erdogan anataka airudishe Ottoman empire na kumuangusha Saudi Arabia
Patamu apo

Sent using Jamii Forums mobile app
Madikteta wa mashariki ya kati watatoa roho aisee. Ila huyu Erdogan afadhali angeondoshwa na yale mapinduzzi yaliyofeli. Amekuwa dikteta mkubwa sasa. Utaona ugomvi wa Azerbaijan na Armenia , alitia pua yake. Na kule anawatunishia misuli Wagiriki kuhusu utafiti wa mafuta na gesi baharini na juzi tu alitembelea Cyprus ya waturuki.
 
Madikteta wa mashariki ya kati watatoa roho aisee. Ila huyu Erdogan afadhali angeondoshwa na yale mapinduzzi yaliyofeli. Amekuwa dikteta mkubwa sasa. Utaona ugomvi wa Azerbaijan na Armenia , alitia pua yake. Na kule anawatunishia misuli Wagiriki kuhusu utafiti wa mafuta na gesi baharini na juzi tu alitembelea Cyprus ya waturuki.
Tukimtoa Urusi na Mmarekani....Hivi kati ya Iran,Uturuki,Israel,Saudi Arabia na UAE....nani ana influence kubwa middle East?

Zipange in ascending order

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha wakisha lipiza kisasa nyie wote huwaga mnakimbia jukwaa hili la international kama zekukoyo ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom