syria

  1. Mi mi

    PKK/YPG wameanza kukamatwa huko Syria

    Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?
  2. Mindyou

    Baada ya Assad kupinduliwa, wananchi waingia Benki Kuu ya Syria na kuanza kuiba na kubeba maboksi ya hela

    Wakuu, Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria. Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha. Kwenye video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, waandamanaji wameonekana wakiwa kwenye wanatoka benki na...
  3. B

    Je, kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad huko Syria ni kushindwa kwa Russia na Iran?

    Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu ya wapiganaji kumsaidia ASSAD. Wasiwasi wangu ni hii nchi kuangukia kwenye machafuko ya kila mara...
  4. Mindyou

    Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

    Wakuu, Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo. Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya...
  5. C

    "If Syria fails, the Resistance is Lost" Nasrallah

    Maneno haya aliyazungumza aliyekuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, May 25th, 2013. Yeye hayupo, na kwa maana halisi huo muhimili wa Iran hapo mashariki ya kati ndio umevunjika! Yahya Sinwar alianzisha vita ambayo hakujua kabisa mwisho wake! Hakuna chochote cha maana walichokipata Iran...
  6. Yoda

    Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  7. dogman360

    Ndege ya Assad Yapigwa na Kombora la S-300 la Urusi

    Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
  8. econonist

    Familia ya Rais Assad yakimbia Syria

    Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus. Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE. Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe...
  9. MK254

    Iran yaanza kutorosha wanajeshi wake Syria, ni kubaya

    Lakini wadau tusishabikie sana, ikumbukwe hao waasi pia ni makatili wa ile dini na wanaweza wakawa wabaya hata kuzidi wanaokimbia, yaani popote kwenye hiyo dini ni laana, mauaji, chuki na vifo jameni....na wote wanaamini wanafanya kwa ajili ya 'mungu' wao.... =================== Iran Begins to...
  10. N'yadikwa

    Mji wa Damascus/Mji wa Dameski: Kongwe la vita tangu enzi za kabla, wakati na baada ya Yesu

    Dameski, mji mkuu wa Syria, ni mojawapo ya miji mikongwe zaidi duniani iliyokaliwa kwa mfululizo. Historia yake inajumuisha matukio mengi ya vita na migogoro, yakiangaziwa katika vyanzo vya kihistoria na Biblia. Katika Biblia, Dameski inatajwa mara kadhaa. Mfano maarufu ni ule wa kuongoka kwa...
  11. Yoda

    Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  12. Mtu Asiyejulikana

    Yanayojiri: Vita ya Syria na Waasi

    Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa na serikali kwa mara ya kwanza katika miaka mingi. Jeshi lilisema Jumamosi kuwa makumi ya wanajeshi...
  13. Mtu Asiyejulikana

    Putin nyuma ya Syria katika mgogoro wa Syria na Uturuki

    Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.
  14. Ritz

    Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Wanaukumbi. Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad. Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria. UP DATE=============== 🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia...
  15. Kiminyio 01

    Uasi Syria

    Majeshi ya waasi yamefanya mashambulizi makubwa Kaskazini-Magharibi mwa Syria, na kuyateka maeneo ya wanajeshi wa Rais Bashar al-Assad, huku wapiganaji 180 wa pande zote mbili wakiuawa kwenye mapigano pamoja na raia 19. Kundi hilo la Hayat Tahrir al-Sham (HTS) tayari limechukua vijiji kadhaa...
  16. U

    Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  17. Mhaya

    Hakuna Cha ‘Pray for Israel’ au Iran - Wacha Wapigane Hadi Wachoke! Mpalestina wa Buza na Muisrael wa Bonyokwa kaeni kwa kutulia

    Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
  18. Madwari Madwari

    Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi

    Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi. 👇 👇 👇 👇
  19. Komeo Lachuma

    Vikosi vya anga vya Uturuki vimeshambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria na Iraq

    Kawaida ya watu wenye roho mbaya,wauaji,makatili na wenye ushetani. Huwa wakimaliza kula wengine wanarudi hadi kwao. Uturuki ni Taifa la Kiislamu. Imagine linashambuliwa. Huko Ulaya ambako kuna makafiri wengi Waislamu ndo wanapenda kukimbilia.hawataki kwenda Egypt,Saudia...
  20. gallow bird

    ISIS wanajikusanya syria kumdunda assad

    Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii Syria ni njia inayotumika kupeleka silaha gaza na lebanon. Wakati huohuo netanyahu na msaidizi wake...
Back
Top Bottom