syria

  1. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

    Habari za muda huu ni kuwa Israel inashambulia Ikulu na Makao Makuu ya jeshi la Syria baada ya Majeshi ya Syria kuua watu wa jamii ya Druze. Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) limeilaani kwa “maneno makali zaidi” mashambulizi ya Israel dhidi ya Damascus, huku mashambulizi yakilenga wizara...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bomu la kujitoa mhanga kanisani huko Syria lafanya maafa

    Hii ni kazi ya vijana wa itikadi ya msimamo mkali maana yuko radhi ajinyonge ila sio kuona ukristo ukiwa karibu yake.
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hamas nchini Syria washambuliwa

    Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa.. Leo hii Israel imeamua kuzishambulia ghala za silaha za Syria huko Hama!!
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz awaonya watawala wa Syria!!

    Waziri wa ulinzi wa Israel Katz anamtaja kwa jina Sharaa wa Syria kuwa ndiye aliyehusika na kurusha roketi, na kuapa 'jibu kamili' hivi karibuni Kufuatia shambulizi la roketi kutoka Syria dhidi ya Israel jioni ya leo, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Jerusalem inamwona kiongozi wa Syria...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kijasusi vya aliyekuwa Jasusi Eli Cohen vyapatikana huko Syria!!!

    Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita. Vitu hivyo ni pamoja na: • Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utawala mpya wa Syria wainyang'anya Urusi dili la kuchapisha fedha zake, wawapa Ujerumani na UAE

    Huyu mtawala mpya wa Urusi ameamua kujitenga kabisa na Urusi na Iran na kuegemea magharibi, Juzi amekutana na Trump Saudi Arabia, jana ametangaza kuachana na Urusi kuzalisha pesa zake.
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mpya wa Syria Ahmed a-Sharaa (Mohammed al-Julani) awe kwa kitimoto na Trump huko Riyadh!!

    Rais Trump alikutana muda mfupi uliopita na mtawala mpya wa kijihadi wa Syria Ahmed a-Sharaa (Mohammed al-Julani) mjini Riyadh. Ikulu ya White House ilisema Trump aliutaka utawala mpya wa Syria kufanya amani na Israel, kuyafukuza makundi yote ya kigaidi ya Palestina na mengine, na kuisaidia...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Front for Popular Front for the Liberation of Palestine akamatwa na watawala wa Syria

    Utawala wa Syria asubuhi ya leo umemkamata Dkt. Talal Naji mjini Damascus. Yeye ni Katibu Mkuu wa Front Front for the Popular Front for the Liberation of Palestine - General Command (shirika la kigaidi la Palestina lililoanzishwa na Ahmed Jibril mnamo 1968, na msingi wake mkuu wa operesheni huko...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

    Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani. Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wadruze huko Syria wasema hawataki misaada ya kichonganishi kutoka Israel

    Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya. Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti maeneo ya Ashrafieh Sahnaya ukihusishwa na kiongozi wa jamii ya Druze kumtukana mtume Muhammad saw.Jambo...
  11. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Syria yasema yataka Uhusiano rasmi na Israel - Abrahma Accord ishike hatamu

    Mbunge wa Marekani Cory Mills anaiambia Bloomberg alizungumza na Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kuhusu vikwazo vya Marekani, kuondolewa kwa silaha za kemikali, na uwezekano wa Syria kujiunga na Makubaliano ya Abraham. Kiongozi mpya wa Syria ana nia ya kujiunga na Makubaliano ya Abraham, Mbunge...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Wapalestina ni Jaribu kubwa sana, Syria yaanza Kuwatimua baadhi yao

    Serikali mpya ya Syria imeamua kuwatumia PIJ kikundi cha Kigaidi kilichokuwa kinafanya Shughuli zake nchini humo sasa, waende Iraq na Iran na huko walete laana https://x.com/xumas_iq/status/1914553355235471450 Chanzo chake ni hivi Wakati mapinduzi ya Syria yaanaza, Hamas na Wapalestina wengi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Syrian Exhibition Vs Vita Syria

    1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku. 2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa mamlaka ya Palestina Mahamdu Abbas awasili Syria kwa mazungumzo na Rais wa Syria

    Rais wa mamlaka ya palestina Aranyaka ziarna ya kute Bełda Syria na kukaririshwa na Rais wa nchi hiyo.
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kabla kumalizana na Hamas na Hizbullah, kwa Israel kuingia Syria na kuichoza Uturuki ndio kupagawa kwenyewe huko na kujitumbukiza shimoni.

    Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda. Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Rais wa Uturuki anaitamani sana Syria, Benjamin Netanyahu aizibia njia Uturuki

    Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu. Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo...
  17. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

    Peace, Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao. Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah wazirusha tena na Syria waanza kuionya Israel

    Leo tena maroketi kadhaa yameruswa uwelekeo wa kaskazini ya Israel na kumfanya waziri wa ulinzi wa Israel atoe onyo na vitisho kwa serikali ya Lebanon. Kuonesha ya kuwa maroketi hayo baadhi yametua na kupiga yalipokusudiwa,waziri huyo amesema madhara yanayoipata Kiryat Shmona basi yataipata na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel yaani IDF halina utani, lafanya shambulizi kali la kutokea angani huko Syria kwenye mji wa pwani ya Latakia,

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo The Syrian National News Agency...
  20. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aitisha kikao cha usalama kujadili ushawishi wa uturuki ndani ya Syria, Uturuki kuweka kambo ya kijeshi palmyra

    Waziri mkuu wa israel, netanyahu,ameitisha kikao cha kujadili upanuzi wa ushawishi wa uturuki ndani ya syria mpya baada ya Assad Watawala wapya wa Syria waligeukia msaada wa kiusalama kea uturuki kwa kuitaka ijenge kambo za jeshi na kuziimarisha nchini huku pakiwa na kambo ya kijeshi ya Uturuki...
Back
Top Bottom