syria

  1. U

    Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
  2. ELI COHEN

    Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  3. econonist

    Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

    Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!. Mwenye jibu anisaidie.
  4. Sigonella Island

    Russia yatungua makombora 13 Israel huko Syria

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨 Jeshi la Russia limetungua makombora 13 ya Israel yaliyolenga mji wa Tartus ilipo Naval Base ya Russia 🇮🇱🇸🇾🇷🇺 Russia shoots down Israeli missiles? Israel launched missiles to attack targets in the Syrian city of Tartus, where a Russian naval base is located. As a result, all 13...
  5. Webabu

    Hizbullah waingiza uwanjani kombora la FAD-3.Wapiga milima ya Golan,jimbo la Syria lililotekwa na Israel mwaka 1967

    Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo, Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
  6. Mrengwa wa kulia

    Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

    Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki. Vyombo vya habari vya...
  7. Sigonella Island

    Ndege ya Kivita ya Marekani imeangushwa huko Syria Pilot kutokome kusiko julikana

    Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army. BREAKING: According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria...
  8. I

    Mshukiwa wa Shambulio la Kigaidi Ujerumani Achochewa na Itikadi za Islamic State, Waendesha Mashtaka Wasema

    Kijana mmoja raia wa Syria siku ya Jumapili aliamriwa kushikiliwa kwa tuhuma za mauaji na uanachama katika kikundi cha kigaidi cha kiislam cha Isis kuhusiana na shambulio la visu la Solingen nchini Ujerumani lililosababisha vifo vya watu watatu na wanane kujeruhiwa katika tamasha la kuadhimisha...
  9. Sigonella Island

    Vikosi vya Arab Force's vyawatimua Wamarekani huko Syria

    Vikosi vya Arab Force's vinavyomuunga mkono Bashir Asad vimeteka visima vya mafuta vilivyokua vikidhibitiwa na Marekani vya Al Omar oil refinery pamoja Water station wanajeshi wa Marekani waonekana wakipaniki kutuma ndege vita kushumbalia mwisho Marekani kuiba mafuta middle east umefika...
  10. U

    Msafara wa magari makubwa ya Kijeshi uliobeba silaha nzito kutoka Syria kwenda Lebanon wasambaratishwa na ndege za kijeshi za Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon Mungu ibariki Israel Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon...
  11. kimsboy

    Hakuna kamanda wa Hamas aliyeuawa Gaza wala Syria

    Hakuna kamanda wa Hamas aliyeuawa Gaza kama walivyotangaza kuwa Deif keshauawa hizo ni propaganda tu Pia hakuna kamanda wa Iran alouawa Syria hizo ni propaganda za vyombo vya habari vya Israel Pia jiji la Haifa wametangaza marufuku kwa raia kupiga picha ya uharibifu wowote utakaotokana na...
  12. W

    inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  13. MT255

    Ukrainian special forces strike Russian positions in Syria

    The Kyiv Post has published exclusive footage revealing Ukrainian special forces, alongside Syrian opposition fighters, conducting attacks on Russian military positions in the Golan Heights region of Syria. The video captures the Ukrainian unit “Khimik” targeting Russian block posts...
  14. 100 others

    Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

    Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar. Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji...
  15. I

    Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria

    Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha habari cha Tasnim cha Iran kinaripoti. Tasnim inamuelezea Abiyar kama mshauri, neno ambalo hutumia...
  16. MK254

    Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

    Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
  17. MK254

    Wakimbizi wa Syria waanza kuondoka Lebanon baada ya chuki dhidi yao kuzidi

    Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu. Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao kisa chuki zimekidhiri. More than 300 Syrian refugees headed back home to Syria in a convoy on...
  18. MK254

    Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa....... Iran pulling senior officers out of Syria As part of those preparations, Iran has...
  19. G

    Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  20. MK254

    Syria kunaendelea kuwaka moto, milipuko kote

    Israel inaendelea kutamba..... https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1775634263309783456
Back
Top Bottom