sweden

Sweden (; Swedish: Sverige [ˈsvæ̌rjɛ] (listen)), officially the Kingdom of Sweden (Swedish: Konungariket Sverige [ˈkôːnɵŋaˌriːkɛt ˈsvæ̌rjɛ] (listen)), is a Nordic country in Northern Europe. It borders Norway to the west and north, Finland to the east, and is connected to Denmark in the southwest by a bridge-tunnel across the Öresund Strait. At 450,295 square kilometres (173,860 sq mi), Sweden is the largest country in Northern Europe, the third-largest country in the European Union, and the fifth largest country in Europe. The capital city is Stockholm. Sweden has a total population of 10.4 million; and a low population density of 25 inhabitants per square kilometre (65/sq mi). 87% of Swedes live in urban areas, which cover 1.5% of the entire land area. The highest concentration is in the central and southern half of the country.
Sweden is part of the geographical area of Fennoscandia. The climate is in general mild for its northerly latitude due to significant maritime influence. In spite of the high latitude, Sweden often has warm continental summers, being located in between the North Atlantic, the Baltic Sea, and vast Russia. The general climate and environment vary significantly from the south and north due to the vast latitudal difference, and much of Sweden has reliably cold and snowy winters. Southern Sweden is predominantly agricultural, while the north is heavily forested and includes a portion of the Scandinavian Mountains.
Germanic peoples have inhabited Sweden since prehistoric times, emerging into history as the Geats (Swedish Götar) and Swedes (Svear) and constituting the sea peoples known as the Norsemen. An independent Swedish state emerged during the early 12th century. After the Black Death in the middle of the 14th century killed about a third of the Scandinavian population, the Hanseatic League threatened Scandinavia's culture, finances and languages. This led to the forming of the Scandinavian Kalmar Union in 1397, which Sweden left in 1523. When Sweden became involved in the Thirty Years War on the Reformist side, an expansion of its territories began and eventually the Swedish Empire was formed. This became one of the great powers of Europe until the early 18th century. Swedish territories outside the Scandinavian Peninsula were gradually lost during the 18th and 19th centuries, ending with the annexation of present-day Finland by Russia in 1809. The last war in which Sweden was directly involved was in 1814 when Norway was militarily forced into a personal union, which peacefully dissolved in 1905. Since then, Sweden has been at peace, maintaining an official policy of neutrality in foreign affairs. In 2014, Sweden celebrated 200 years of peace, breaking even Switzerland's record for peace. Sweden was formally neutral through both world wars and the Cold War, albeit Sweden has since 2009 openly moved towards cooperation with NATO.
Sweden is a constitutional monarchy and a parliamentary democracy, with legislative power vested in the 349-member unicameral Riksdag. It is a unitary state, currently divided into 21 counties and 290 municipalities. Sweden maintains a Nordic social welfare system that provides universal health care and tertiary education for its citizens. It has the world's eleventh-highest per capita income and ranks very highly in quality of life, health, education, protection of civil liberties, economic competitiveness, income equality, gender equality, prosperity and human development. Sweden joined the European Union on 1 January 1995, but has rejected NATO membership, as well as Eurozone membership following a referendum. It is also a member of the United Nations, the Nordic Council, the Council of Europe, the World Trade Organization and the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD).

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Namna bora ya kuweza kwenda Sweden

    Wakuu habari! Aisee mna ushauri au mawazo gani kuhusu jinsi ya Mtanzania kwenda Sweden kucheki maisha.
  2. I

    Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha. Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa...
  3. J

    Kutoka Tanzania Mpaka Uwaziri Sweden, Kiswahili Ndicho Kimebeba Safari Yake

    Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto. Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
  4. Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  5. Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden: Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025 Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden. Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 Sundbyberg. Tarehe: Julai 5, 2025. Muda: 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni. Burudani: Saa 1:00 Jioni -...
  6. Kumbe Denis Robert anaishi Stockholm Sweden.

    Mwamba denis robert Shughuru Rais mtarajiwa na potential JF person of the year 2025 contester anaishi Stockholm Sweden? adriz min -me Mufti kuku The Infinity
  7. Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stockholm - Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 52 Sunday Sundbyberg Tarehe: Julai 5, 2025 Muda: Saa 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni Burudani: Saa 1:00 Jioni - Saa 4:00 Usiku
  8. Balozi Matinyi awasilisha hati za utambulisho kwa Mfalme wa Sweden

    Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa Mabalozi (kushoto kwake) mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa...
  9. Spare Hadimu za magari ya Uingereza, Sweden na Germany

    Ningependa tu discuss. Ni spare ya brand ya gari ya Uingereza, Ujerumani na Sweden inakusumbua kuipata na umechukua hatua gani ikashindikana.
  10. W

    Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden

    Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
  11. Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  12. Balozi Mobhare Matinyi awasili kwa mara ya kwanza ofisini Stockholm Sweden

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland...
  13. Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima

    Wakuu, Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚. Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima. Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka. Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye...
  14. Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  15. Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo. Tareh 19 Machi 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana kwa Mazungumzo na Waziri wa Uhamiaji wa Sweden Mhe. Johan Forssell. Katika mazungumzo hayo viongozi hao...
  16. D

    Sweden imetenga Euro 109 milioni ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni

    Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni. Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
  17. Makonda ameivaa Arusha, nayo ikamvaa vyema, Arusha leo hii kama Sweden au sehemu yoyote ya Ulaya!

    Arusha ya leo ni safi, wanaarusha wote wana furaha, maji ya kumwaga, huduma za afya mwake mwake, mashule ndiyo usiseme, environmental quality and standards safi, bado machache tu Arusha iwe ya kitofauti kabisa!, nathubutu kusema katika kipindi cha miaka sita ijayo chini ya rais wetu, Dr. SSH, na...
  18. Mbappe ashtushwa na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden

    Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden. Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio la ubakaji lilitokea kwenye hoteli iitwayo Bank , Oktoba 10. Vyombo vya...
  19. Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

    Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17. Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku...
  20. Ujasusi, vitisho, vifo vya kutatanisha: Rwanda inajaribu kunyamazisha Wapinzani na Wakosoaji wake nje ya nchi

    Jean Bosco Gasasira ameishi uhamishoni kwa karibu miaka 14. Mnamo mwaka wa 2010, alikimbia Rwanda baada ya kupokea vitisho vingi akiwa mwandishi wa habari na mhariri mkuu wa gazeti huru la Umuvugizi. Muda mfupi baada ya kuondoka kwake, mhariri mkuu wa muda aliuawa mjini Kigali, na kusababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…