suzuki

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri wa gari Suzuki Jimny

    Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake. Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uwezo wa Suzuki Carry (Minivan)

    Suzuki Carry Habari zenu! Naomba kujulishwa uwezo wa suzuki carry a.k.a kirikuu: 1. Uwezo wa kubeba(maximum weight). 2. Nguvu yake kwenye mchanga,matope,utelezi,miinuko n.k. (pulling). 3. Je inaweza rough roads hasa mikoa isiyokuwa na milima mikali au maeneo yenye miinuko ya wastani. 4...
  3. MATEGUZYO

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu kati ya Vitz, Starlet na Suzuki Swift/ Jimmy

    Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare parts, durability, masafa marefu pasipo kusumbua
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

    Tupatie maelezo zaidi kuhusu bei,kodi,usafiri tafadhari
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye Suzuki Carry Family nabadilisha na Toyota Vitz 0767333440

    Nabadilisha Toyota Vitz kwa Suzuki Carry Family. Vitz ni kali sana piga 0767 333 440.
  6. MtamaMchungu

    JamiiForums Tanzania Msaada fundi mzuri wa magari ya Suzuki

    Habari wanabodi, Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, Hapa Dar, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here
Back
Top Bottom