suzuki

  1. and 998 others

    Suzuki Escudo Roho ya paka - gari za Mapadri wa kikatoliki

    Gari hizi Roho ya paka. Mapadri wa kikatoliki wanazielewa vijijini huko. Ukiipata hii umepata chuma.
  2. M

    Suzuki swift M13a

    Habari wadau Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari 1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki, 3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser 4. Inatembea umbali mrefu bila...
  3. darautobroker

    Car4Sale Wafanyabiashara wadogo nimewaletea mkombozi wenu hapa

    Bei/Price TSH 14.7M Call +255 747 999 927 SUZUKI CARRY Year: 2006 Engine: 650Cc LOW MILEAGE Transmission: MANUAL Clean Interior In Good Condition Exchange Possible Fuel Efficient Cheap To Maintain Easy To Drive In Tight Streets Reliable For Small-Scale Business Deliveries Cargo Capacity...
  4. Dr. Zaganza

    Nauza suzuki swift

    Nauza suzuki swift, bei ni 4.8 million. Niko Kibaha maili moja, piga 0713 039 875.
  5. Mkyamise

    Suzuki Grand Vitara 1998

    Habari za leo waungwana? Ninaomba kupata ufahamu kuhusu gari lililotajwa hapo juu. Engine yake original imeondolewa ikawekwa ya Noah yaani 3S autimatic 2W. Inatembea vizuri na ninatamani kwenda nayo masafa marefu. Je niniandae na changamoto zipi?
  6. goodhearted

    Mwenye kuijua Suzuki swift

    Natamani kuinunua hii gari kwa mishe zangu za hapa na pale. Unfortunately mimi si mjuzi kwa kina wa magari. Ningependa kutambua uwezo wa ulaji mafuta, uimara wake, upatikanaji wa vipuli ikiwa ni gharama ya vipuli hivyo kama ni himilivu kwa mtanzania wa kipato cha kati hapa nyumbani tz na mambo...
  7. Webabu

    Maziko ya Papa Francis yamefanana na ya waislamu. Hawakutaka fakhari.Wametumia Suzuki carry kubeba jenenza lake

    Pamoja na kwamba papa Francis hakuacha mamilioni ya pesa katika utajiri wake,vile vile hata maziko yake hayakuwa ya kifakhari sana.Yamefanana sana na vile waislamu wanavyozikana. Mazishi ya kiislamu hata afe mfalme basi huzikwa kikawaida sana.Wengi wao huzikwa siku hiyo hiyo wanayokufa na bila...
  8. Dr. Zaganza

    Natafuta stering rack, ya suzuki swift

    Habari wakuu Naomba niulizie stering rack, ya suzuki swift ,maana stering imekuwa ngumu.(Stering ya umeme ,siyo ya hydraulic). Niko Kibaha maili moja Piga 0713 039 875
  9. S

    SUZUKI

    Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
  10. J

    Suzuki Carry New Model inauzwa 14.5M

    Suzuki Carry New Model 4WD Reg: EAA Year: 2016 Engine: 650cc Mileage: 76,862km Gari bado jipya halina kipengele hata kimoja Gari linabodi tayari kama linavyoonekana kwenye picha Bei: 14.5M Call: 0746191267
  11. Waufukweni

    TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa Suzuki Motor, Osamu Suzuki, afariki dunia akiwa na miaka 94

    Mfanyabiashara mkongwe wa Japan na Mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya Magari ya Suzuki Motor Bw. Osamu Suzuki (94), amefariki dunia. Suzuki aliyeiongoza Kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 40 alifariki Disemba 25, baada ya kuugua ugonjwa wa Saratani. Atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa...
  12. vumiliag

    Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    Wakuu habari, Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana. Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho cc 1490 Bei ni m6 inapungua kidogo No 0715568585 Usajili no DHD 2WD gari ni automatic
  13. Mad Max

    Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

    Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara. Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km. Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
  14. Mad Max

    Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  15. Mnyenz

    Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  16. Mnyenz

    INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  17. getemsales

    Car4Sale Suzuki Carry kirikuu

    Nauza suzuki carry kirikuu ipo vizuri haina tatizo lolote bei 5,000,000/= Dar es salaam temeke kwa mawasiliano 0742100444
  18. IsaacMG

    Naomba kujua tofauti ya hizi Suzuki mbili

    Hapo nimeweka Suzuki Escudo mbili sasa mimi sio mtaalam sana wa magari ila navutiwa sana na Suzuki hizi ila kulingana sifa zake za uimara ninazozikia kwa wanaozimiliki sasa nataka na mm nichukue Moja wapo je ipi ni model nzuri kati ya hiyo nyekundu au hiyo blue? Naombeni ushauri wenu kwa...
  19. U

    Msaada nahitaji Contro box ya suzuki kei

    Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa , kuwaka ina waka lakini kubadilisha gia ndo kwenye mtihan haikubali, naomba mtaallam anielekeze nitapat...
  20. D

    Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
Back
Top Bottom