Kama Kuna sector mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu...