Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
Yule fedhuli mwenye roho ya korosho,
Mwenye hoja zisizo mashiko,
Anadhani katiba ni hadithi za esopo,
Kila mara hutoa boko,
Kwasasa amekosa soko,
Kila kona mi miwasho,
Mikali zaidi ya ile ya uamsho,
Ataipata ya joto,
Kiti kitawaka moto.
Wahuni wenye mikoko,
Wanaotegemea pisto...
Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums!
Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha! (Kulingana na taarifa rasmi za TCRA Septemba 6, 2025, hii suspension inaanza mara moja na...
Suluhisho la ufisadi ndani ya Tanzania na Afrika nzima ni mapinduzi ya kijeshi hakuna mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha walizoiba wataendelea kuwa juu siku zote.
Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!.
Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!.
Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake.
Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
Habari wanajukwaa,
Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia).
Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia nne, ambao tayari umeanza katika upande wa Mkoa wa Mbeya kuelekea Tunduma.
Pia soma ~ Foleni ya...
STORI FUPI:
Watu wengi hufikiri biashara ni kuuza bidhaa au huduma tu. Lakini biashara ya kweli huanza pale mtu anapotambua changamoto halisi katika jamii na kuamua kuitatua kwa njia ya ubunifu.
Rehema, kijana kutoka Mbeya, alichoka kuona wakulima wakipata hasara kila msimu kwa sababu ya...
Habari za kazi wapendwa!
Bila kupoteza muda, naomba msaada wa kujulishwa visababishi vya tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito. (Mimba bado changa - chini ya mwezi mmoja).
Je, tatizo hili linaweza kutatuliwaje?
Natanguliza shukrani!
Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani.
Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
NRNE
Takriban miezi 6 hadi 7 iliyopita, nilikuja hapa jukwaani kuelezea nia yangu ya kuanzisha jambo lenye manufaa katika sekta ya usafirishaji kupitia uzi huu...
Je, Soko la Hisa la Kidijitali Linalotumia Blockchain Litaweza Kuleta Mapinduzi Barani Afrika?
---
🌍 Changamoto za Upatikanaji wa Masoko ya Hisa kwa Waafrika
Katika bara la Afrika, upatikanaji wa masoko ya hisa kama New York Stock Exchange (NYSE) na Nasdaq umekuwa changamoto kubwa kwa watu...
Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende...
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh.
Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako.
Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
Iwapo Umepoteza Meno halisi unaweza pata huduma ya meno bandia ya kudumu kutoka offisini kwetu
Faida za Meno bandia
.Kulinda meno mengine yasiharibike
.Kulinda Mfupa Wa Taya usipotee
. utatafuna Chakula Vizuri
. Muonekano Mpya Na Kujiamini
.Uimara /Ubora wa Meno utaongezeka
Tunapatikana...
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25%
Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili ya kufanya utafiti kwani jibu lipo waziwazi;
"MASHULENI HAKUNA WAALIMU WAKUTOSHA NA WENYE SIFA YA...