Sijui Mwalimu Nyerere alikuwa akilenga nini hadi kufikia hatua ya kuruhusu watu kutoka Zanzibar kuwa na nafasi ya kuongoza Tanganyika, wakati Wabara hawana nafasi hiyo ya kuongoza Zanzibar. Hali hii inaibua maswali mengi kuhusu usawa na haki kati ya pande hizi mbili.
Watanganyika tunapaswa...
Tulikofikia Wazanzibar wataanza kutuchukulia poa sana hasa hasa kipindi cha Rais wa kutoka kule
Kuna speech ya Nyerere inatembea sana mitandaoni yenye maudhui kwamba yeye (Nyerere) ndiye aliyekataa muungano wa serikali moja kwa kuhofia kuonekana anataka kuimeza (kuitawala) Zanzibr
Kwa jinsi...
Watanganyika tunajengewa kitu ambacho hatukuwa nacho!
Kinajengwa na matamshi ya wazi ya wazanzibari!
Sikiliza watanganyika wameanza kujitambua
Pia soma
Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari
Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye...
Ningeteneza uwanja Mzuri wa kimataifa wa ndege kuliko wa pale DXB.
Ningeteneza pia recreational center kama theme parks, hoteli zinazoelea kwenye maji pamoja na Hotel zenye hadhi ya kimataifa kama Hyatt regency au Kama zile za Trump towers
ningeifanya Unguja na Pemba kuwa destination ya Sex...
Ukweli kwamba mitaala ya elimu sio sehemu ya mambo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unayo madhara makubwa sana kwa Watanganyika pale kunapokuwepo na viongozi wa siasa ambao ni Wazanzibari.
Mitaala ya elimu ya Zanzibar haisemi kitu kuhusu tofauti kati ya dola ambayo ni jamhuri ya kiliberali...
Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na...
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayotawaliwa na marais wawili kwa wakati mmoja, mabunge mawili, nyimbo za taifa mbili, majaji wakuu wawili, katiba mbili, bendera mbili, maspika wawili, makamu wa rais sasa hivi watatu, marais wanaopigiwa mixinga 21 wawili nk
Zamani ilikuwa Rais akitokea...
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda mwingi umetumika kujadili changamoto kuliko kuweka mawazo ambayo yatatatua changamoto hizo.
Uzi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.