suleiman

Suleiman (English: or ) is the main transliteration of the Arabic سليمان Sulāymān / Silīmān. The name means "man of peace" and corresponds to the English name Solomon.
The word may also be transliterated as Sulaiman, Suleman, Soliman, Sulayman, Sulyman, Suleyman, Sulaman, Süleyman, Sulejman, Sleiman, Suliman, Solomon, Soleman, Solyman, Souleymane. This disambiguation page focuses on individuals and entities with Suleiman as a predominant transliteration.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Balozi Dr Suleiman: Unga unawamaliza Watanzania nchini China

    Balozi wa Tanzania nchini China, Dk Suleiman Haji Suleiman amesema dawa za kulevya zinaendelea kuwagharimu Watanzania wanaokwenda China, akieleza kuwa baadhi yao wamehukumiwa vifungo vya miongo kadhaa huku familia zao nchini zikipoteza mawasiliano nao na kuamini wamefariki dunia. Akizungumza na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Haitham Suleiman: Vyuo vikuu vimepoteza hadhi, vimegeuka kuwa matawi ya vyama vya Siasa

    Haitham Nassor Suleiman, amevituhumu vikali vyuo vikuu na asasi za kiraia (CSOs) nchini kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kimsingi wa kuwajengea uwezo wa kuhoji na kuwapa jukwaa vijana . Akizungumza leo Julai 9, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia, Haitham amebainisha kuwa taasisi hizo mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

    Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS. Huyu nabii anaelezwa kwamba alikuwa na utajiri mkubwa usiyo kifani, lakini pia alikuwa na busara na hekima...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Mfanyabiashara maarufu Suleiman Rwaikondo amenusurika kifo baada ya kushushiwa kipigo na wananchi huko Muleba

    Inasadikiwa aliibiwa ng'ombe zake huko Muleba. Akaenda kwenye mmoja ya minada ya kuuza ng'ombe na akaziona baadhi ya ng'ombe zake. Ilikuwa siku kama chache kipindi cha sikukuu ya Iddi. Alipoziona ng'ombe zake pale mnadani akaanza kufyatua risasi juu ili kuwatawanya wananchi. Risasi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Suleiman: Vurugu na machafuko hayatatui migogoro

    Kuna wakati kama haki hakuna na wanapaswa kutoa haki awazitoi hizo haki ni lazima itumike nguvu ya ziada ili haki ipatikane. Kwahiyo msiseme ni machafuko ni katika harakati za kutafuta haki na usawa. ==================== Wazazi Mkoani Mtwara wametakiwa kuzungumza na vijana wao juu ya umuhimu wa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimejiunga siku ambayo JF imefungiwa

    Yaani mimi kujiunga leo JF inafungwa, alooo kwanini?
  8. JamiiForums Tanzania Nimeona gorikipa Goalkeeper Yakoub Suleiman akienda simba imenipa mwaswali magumu sana

    Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana, Au niseme ni tamaa ya fedha, Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa, Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi. Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana, Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa...
  9. JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  10. JamiiForums Tanzania Taifa Stars Tengenezeni timu yenu kumzunguka Abdul Suleiman 'sopu'

    Kwanini? Ndio namba yake asilia,, ni Top top clinical finisher akicheza as final strikers Sio winger,, kama nilivyo eleza hapo juu,,, Hiki ni kipaji kikubwa sana cha hapa bongo ambacho tunalichukulia poa Nimemaliza
  11. JamiiForums Tanzania Karibuni Wapenzi Wa Riwaya Za wakongwe kama Hussein Tuwa, Shaaban Robert, Shafi Adam Shafi, Ben R.Mtobwa, Alfu lela ulela, Mashimo ya mfalme suleiman

    Riwaya ni hazina. Chagua kitabu, njoo whatsapp ulipie. 0713 039 875
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini hekalu la Mungu lilijengwa na Mfalme Suleiman na tunajifunza nini kwa mtu wa hovyo kama huyu?

    Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au hapakuwa na watu safi wa kufanya kazi hii. Kwa uzinzi wake, tunajifunza nini? Je ilikuwaje Mungu...
  13. JamiiForums Tanzania Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kutoka kwa Suleiman Said Bungara (Bwege) kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan

    Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
  15. JamiiForums Tanzania Hekima aliyoomba Mfalme Suleimani

    Wengi wetu leo hii ukimwambia unataka Mungu akupe nini atakwambia pesa/utajiri. Hata ibada nyingi kwenye haya makanisa binafsi ya mitume na manabii maombi makubwa ni Pesa! Mali! Utajiri. Mfalme Suleiman alipoulizwa na Mungu anataka nini! Mfalme Suleiman akamwomba Mungu ampe hekima. Hili si...
  16. JamiiForums Tanzania Dk. Suleiman Serera: Serikali haitamfumbia macho atakayechezea Sekta ya Mkonge

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta hiyo mtambuka ni ustawi wa maisha ya Watanzania wengi wa kaliba na kada tofauti. Dk. Serera amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Suleiman Abdulrahman bin Sheikh Suleiman Takadir Mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir

    SULEIMAN ABDULRAHMAN SULEIMAN TAKADIR MJUKUU WA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR Mchana leo nimepokea simu aliyenipigia akajitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibari anapiga simu kutoka Zanzibar na jina lake ni Suleiman Abdulrahman Suleiman Takadir, mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir, Mwenyekiti wa Baraza la...
  18. JamiiForums Tanzania Suleiman Nyambui asema hakufurahishwa jinsi kina Simbu walivyotoswa Airport

    Mwanariadha wa zamani na kocha wa mchezo huo, Suleiman Nyambui amesema hakufurahishwa na kitendo cha Uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutojitokeza kuwapokea Wanariadha wa Tanzania walioenda kushiriki katika michezo ya Olimpiki Jijini Parisi, Ufaransa. Imedaiwa Mkuu wa Msafara huo...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Yupi Sheikh Suleiman Takadir na ni Yupi Iddi Tulio?

    SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA IDDI TULIO Nimeona kuna mkanganyiko wa nani ni nani kati ya wenyeviti hawa wawili wa Baraza la Wazee wa TANU. Kushoto ni Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958. Kulia ni Iddi Tulio Mwenyekiti Baraza la Wazee wa TANU 1958 - 1963...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya TAMISEMI bado inamuhitaji Suleiman Jafo

    Salaam Aleikum, Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…