sukari

The Sukari mine or Alsukari mine (Arabic: السكري Al-Sukkari, Egyptian pronunciation: El-Sokkari) is a gold mine located in the Nubian Desert/Eastern Desert near the Red Sea in Egypt, in the south-east of the country in the Red Sea Governorate, 30 km south of Marsa Alam. It is exploited jointly by the Egyptian Ministry of Mineral Resources and Centamin. It is Egypt's first modern gold mine, an industry considered to have scope for expansion in the country. Egypt was known in the ancient world as being a source of gold, and one of the earliest available maps shows a gold mine at this location.It is a combination of an open-pit mine and an underground mine, with estimated reserves of 15.4 million ounces of gold. The site is supplied by a 30 km long pipeline bringing water from the Red Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  2. Madhara ya kutumia sukari nyingi

    ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi? Sukari ni chanzo cha nishati mwilini lakini ikizidi huanza kuleta madhara badala ya faida Sukari hupatikana kwenye juice za viwandani, Biskuti, keki,pipi, vyakula vilivyosindikwa,chai au kahawa yenye sukari nyingi ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi ni...
  3. Kumbukumbu ya mwaka 2021 baada ya mkenda kuenguliwa baada ya kukataa kuipa kibali kampuni ya ITEL kuingiza sukari nchi

    Wakati tatizo la Uhaba wa Sukari linaibuka mwaka 2021 mwishoni, Serikali ilieleza kuwa linasababishwa na Viwanda kushindwa kusindika Miwa inayozalishwa nchini kutokana na udogo wa mitambo na uchache wa viwanda. Hata hivyo, hali iliendelea kuwa mbaya na sababu zikaanza kutajwa kuwa ni changamoto...
  4. M

    Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  5. M

    Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  6. Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari

    Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari… Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari… Hiyo ni hatari kwa afya yako. Asubuhi ya kweli inaanza na heshima kwa mwili wako — kumpa lishe sahihi kabla dunia haijaanza kudai nguvu zako. 🥒 Matango mabichi — kwa detox na ngozi yenye afya 🥕...
  7. Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

    Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
  8. R

    Kama unajua ulitumia hivi vibatari punguza kula sukari na mafuta

    Wakuu, kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
  9. Code:Sukari hamna wameagiza nje (Zambia) kwa kodi zetu?

    Gari nyingi saa zimeputa last week, Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao.... Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo zilipaswa kufanya kazi nyingine za maana ... Now Suvari ilipaswa kuwa 4000 kwa kilo. Mpaka tunapita...
  10. Ujumbe wa vyombo vya habari: Kumekuwa na sukari nyingi kupita kiasi katika masuala ya jinsia

    Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya ziada" kwa upande mmoja, huku ikipuuza upande mwingine. Masimulizi haya mara nyingi huchangia...
  11. M

    GE2025 Siasa ni chaguo lakini Kila chaguo linamfichua mtu alivyo ndani yake

    Ndugu zangu, tuseme ukweli usiofunikwa na siasa za kupaka sukari!" Wafuasi wa CHADEMA wamegawanyika katika njia tatu — na kila njia ina hadithi yake. Waliokimbilia CHAUMA Hawa ni wanasiasa waliochukua uamuzi si kwa tafakari ya kina, bali kwa msukumo wa kundi. Ni kama mtu anayeongozwa na kelele...
  12. PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo atoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Sukari hiyo imegawanywa na Katibu wa Mbunge, Julias Butogwa...
  13. Mnaokamua mawese kutengeneza mafuta au miwa kutengeneza sukari chukua technology hio

    Pikipiki huwa na matumizi mengi sio kubeba abiria tu hata kufanya kazi zingine pia ikiwemo kulima. Huyu mwamba anaitumia kukamulia michikichi ili apate mafuta ya mawese. Huitaji kwenda Veta.
  14. M

    Sukari 6 asubuh ni sawa?

    Habar wakuu nikipima sukari asubuh ya saa mbili Iko 6 na hapo nakua nimekula chakula saa mbili usiku,je kiwango Hiki nisawa? Kwa mwezi huu wa ramadhani nikija pima saa kumi na moja jioni nakuta Iko 4.7 hapo nitangu Nile Jana jioni yake ktk futar
  15. Zembwela Amkumbuka Magufuli, Asikitika namna serikali ya sasa inavyoibiwa kizembe

    "Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya" "Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda" https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
  16. Kwanini Kila nikiskiliza huu wimbo wa me too hisia zinahamia kwenye wimbo wa Sukari guru?

    Bila shaka mko vizuri wakuu. Huyu B-boy ukimskiliza vizuri utagundua ako na kitu kwenye namna anavyotengeneza midundo yake. Sijajua ni labda kwakua wako na muunganiko mzuri na huyu kijana Harmonize au ni kweli anauwezo mkubwa kwenye midundo ya aina hii. Kwenye huu wimbo wa "me too" alitulia...
  17. Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  18. S

    Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  19. PreGE2025 Mahakama Kuu yatupilia mbali shauri la Luhaga Mpina dhidi ya Uagizaji wa Sukari

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 14, Februari 2025 imetupilia mbali shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina juu ya kupinga uaagizwaji wa sukari nje ya nchi. Uamuzi wa shauri hilo umesomwa na Jaji Salma Maghimbi akieleza...
  20. Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

    Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…