suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  2. JamiiForums Tanzania Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  3. JamiiForums Tanzania Mi acha niseme tu. Serikali naomba iingilie kati suala hili

    Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua dua. Wakikukuta mtu unavuta jani wanakutia jamba jamba na kukutishia ili wapate nafasi wakupore...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga halihitaji siasa; Hatua za kuwapanga zilizochukuliwa sasa ni sahihi

    Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA. Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

    Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam. Suala hili limebebwa vile vile na Spika Tulia Ackson, kutetea baodaboda kuendelea kuwa kero katikati ya miji mingi nchini. Siyo siri bodaboda ni kero kubwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yatuhumiwa kutekeleza ubaguzi wa rangi katika suala la wakimbizi

    Dhahiro Ali mwenye umri wa miaka 25, ni mama wa watoto watatu. Alikimbilia Marekani akitokea Somalia, nchi ambayo imekumbwa na vita kwa miaka mingi. Hadi sasa ameishi nchini Marekani kwa miaka mitano, amejifunza Kiingereza na ustadi wauuguzi, na hatimaye akapata kazi katika hospitali. Lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  8. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

    Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi. Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
  9. JamiiForums Tanzania Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, nakushauri kuwa 'strategic thinker' suala la mafuta. Fufueni TIPER

    Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta. Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo. TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

    Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo. Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo. Video: Global TV
  12. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Wakimbizi wa Ukraine: Ubaguzi wa rangi wa wazungu umekuwa dhahiri

    Tatizo la wakimbizi halijaanza Leo wala halijaanzia kwa wakimbizi wa Ukraine! Wanavyofanyiwa kwa uungwana wakimbizi wa Ukraine na mataifa ya ulaya ni jambo zuri sana! Swali ni je kwa nini wakimbizi wengine waliokuwa wanakimbilia ulaya toka nchi za mashariki ya kati na afrika ya kaskazini...
  13. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

    Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani. Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia. Narudia...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli suala la Katiba Mpya ni suala la Rais kulikubali au kulikataa?

    Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la! Anzia dakika ya 6:00 - 6:16 hivi. Hivi ni kweli kabisa Rais ndiye mwenye uwezo huo? Tukiachana na mazoea ya kijinga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukosekana attention ya kutosha suala la kuachiwa kwa Mbowe

    Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na halikwepeki kuchukuwa nafasi kubwa katika media hasa za ndani including hapa JF. Kiuhalisia humu JF limechukuwa nafasi yake lakini sio kwa kiwango kinachostahili. Kwa mtazamo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia pamoja na ziara yako nzuri huko UAE, Suala la Ngorongoro liwe nje ya ajenda

    Mheshimiwa Rais, Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa ikimezea mate ardhi ya wananchi inayokaliwa na wamasai huko Ngorongoro. Tuna historia nzuri namna...
  17. JamiiForums Tanzania Linapokuja suala linalogusa maslahi yao

    “MATAIFA MAKUBWA HUWA HAYANA SIMILE” 24/02/2022 Ni nani asiyejuwa kinachoendelea nyuma ya pazia la mapinduzi ya kila siku yasiokwisha Afrika ya Magharibi? Wangapi wamesahau kikosi cha jeshi la Ufaransa kilipovamia Ivory coast na kumtoa madarakani Laurent Gbabo pale alipo goma kumkabidhi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Suala la vikao vya Bunge kurushwa live ni kazi ya Serikali au maamuzi ya Bunge?

    1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla? 2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe? 3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji ingilia kati suala hili wateja waunganishiwe maji hapa Malimbe, Nyegezi

    Eti bomba la maji linapita sehemu lakini mtu aliyeko zaidi ya mita 60 haruhusiwi kuungiwa.Hii haijakaa sawa Mheshimiwa. Najua wewe ni mchapakazi mzuri hii Wizara unaitendea haki kabisa Mungu akujalie pia unamsaidia sana Rais kwenye utendaji wako wa kazi. Naomba ingilia hili suala hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Suala la Ngorongoro limegawanyika sehemu mbili, ni wazalendo vs wabinafsi

    Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu. Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo yao kwenye hifadhi ya taifa. Watu wenye pesa wameifanya hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…