suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  2. ndege JOHN

    Wanaoponda watumishi wanaochukua mikopo wengi wao unakuta hawana hata hiyo kazi, mtu asiyeogopa mikopo ni risk taker kutoboa ni suala la muda tu

    Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu. Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
  3. A

    Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

    Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa. Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na...
  4. jimama26

    Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako. Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
  5. Keynez

    Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
  6. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  7. Genius Man

    Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni

    Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni. Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv imekataliwa iuuzwa kwa wahuni na hakuna utawala wa kisheria ndio sababu kuu ya kuanza kuiba na...
  8. M

    Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  9. Joshua Mbezi

    Ndugu zetu Waislam njooni mnijibu kuhusu hili suala

    Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za kiislamu kukuta wanapiga marufuku watu kula chakula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan ata kama sio Waislam Wengine hukumbana na adhabu Kali wanapokamatwa wakila chakula Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo; 1; Je ninyi wenzetu hamuwezi kufunga Hadi...
  10. I

    Je, hii ni haki kweli na kwa nini suala la imani lilazimishwe kwa watu!!??

    Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
  11. Genius Man

    Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee

    Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee. Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu...
  12. Genius Man

    Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi

    Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi. Ni bunge haramu hilo linaenda kinyume na makusudi ya kuundwa kwake ni wawakilishi wa wananchi sio wa rais. Hii ndio shida ya kuwaingiza mbumbumbu bungeni hawajui wameenda kufanya nini...
  13. Genius Man

    Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

    Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa. Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania. Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu...
  14. Joshua Mbezi

    Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  15. Genius Man

    Suala la mamlaka haramu kuitumia kampuni ya airtel kufungia namba za watu tunalichukulia kama mwendelezo wa kujiongezea kesi za kujibu

    Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae. Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
  16. Genius Man

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  17. B

    Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
  18. Genius Man

    PostGE2025 Watu waliouawa Oktoba 29 sio wale waliochoma moto vitu, kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu si kifo

    Watu waliouwawa Oct 29 sio wale waliochoma moto vitu, hili suala la kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu sii kifo. Adhabu ya kuchoma vitu adhabu sii kifo tunasheria za nchi kama kuuwa ni halali inamaana wale waliochoma vitu pia hawana kosa lolote kama...
  19. Humble__

    KERO Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
Back
Top Bottom