Wakuu, niliagiza miche ya miembe toka Morogoro. Kwa kweli quality yake ilinitia mashaka. Shambani ni kama 70% ili-fail. Rafiki yangu akanishawishi niagize toka Nairobi.
Kwa kusita nikaagiza. Hii ilikuja mizuri sana kwa bei sawia. Hadi leo 90% ipo shambani. Nauliza Kuna yeyote humu amepatwa na...