stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Wakazi wa mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na Kumalija, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje ndipo wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

    Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8 Mbezi Ubungo Chanika Mbagala Kigamboni Kigamboni Tegeta bunju Kinondoni Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
  3. R

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

    Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu. Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wanaosimamia Vyoo vya Stendi ya Ifakara hawajali usafi

    Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna. Pia kama una hela kuazia jero wanakata 300, ila kama una 200 unaingia kwa hiyohiyo
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Misuna – Singida ina utaratibu mbovu, mabasi hayajali muda kuondoka kwa mabasi

    Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari yako. Tiketi tunazokata ni za elektroniki lakini hakuna kufuata muda licha ya uwepo wa traffic na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Mwanza: Taka zilizorundikwa Stendi ya Makoroboi zimeondolewa

    Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi. Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu kali kwa siku siku kadhaa na kuwa kero kwa Wananchi na watumiaji wa eneo hilo. Hali ilivyokuwa awali...
  10. F

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Mazingira yachoo chaa Stendi ya Bweri ni machafu, maji hakuna

    Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu mkubwa wa maji ndani ya vyoo. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba maji huwekwa kwenye vyombo maalum...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

    Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero. Mda mwingine inapita hadi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

    Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
  13. JamiiForums Tanzania Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

    Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi? Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utozaji mara mbili wa Ushuru wa stendi (Double Taxation): Stendi ya Mabasi Nyegezi

    Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu. Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza. Jambo kama hili...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya NaneNane – Mbeya taa haziwaki usiku, tunalazimika kutumia tochi za simu

    Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa. Taa zipo ila haziwaki, tunateseka sana, tunalazimika kutumia mwanga wa simu, hatujajua shida nini. Tatizo hili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
  18. H

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waziri Mkuu, Mwigulu akagua maendeleo ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Makalla: Mgogoro wa wenye maduka stendi ya zamani Arusha unakuzwa na watu wenye maslahi. Viongozi wanakodi kwa 250,000 na kupangisha kwa 1,500,000

  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini stendi ya bus Iringa ilijengwa Igumbilo badala ya Ipogolo?

    Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…