stendi ya mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azindua stendi ya mabasi ya Dkt. Samia wilayani Hanang

    Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh - Babati. Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh...
  2. H

    Arusha: Waziri Mkuu, Mwigulu akagua maendeleo ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
  3. K

    KERO Kero ya chenji Stendi ya Mabasi Shinyanga, Kivuko cha Kisorya – Ukerewe inavyowanufaisha Watoa Huduma

    Machi 23, 2022 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na unaofadhiliwa na Serikali ya Uholanzi. Kilijengwa choo cha kisasa katika Stendi Kuu ya Mabasi...
  4. BigTall

    KERO Kituo cha Mabasi Nanenane - Mbeya kutokuwa na Taa zinazowaka Usiku ni kero kubwa kwa Watumiaji

    Kituo cha Mabasi ya Wilayani cha Nanenane kilichopo Jijini Mbeya kimegeuka kero kutokana na kukosa huduma ya taa na hivyo kuwa uasumbufu giza linapoingia. Watumiaji wengi tumekuwa tukipata wakati mgumu kutokana na kituo hicho kukosa taa kwa muda mrefu takribani Mwaka mmoja kwa sasa. Mamlaka...
  5. A

    DOKEZO Wizi unaofanywa na mawakala wanaotoa gate pass stendi ya mabasi ya Nyamhongolo, Mwanza

    Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia. Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
  6. A

    KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  7. mzalendo moyoni

    Hujuma stendi ya Mabasi ya Nyegezi ( Mwanza)

    Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6). Mkandarasi anayetoa huduma amejibu kwa wepesi tuu kwamba amewapigia simu watu wa mamlaka na...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  9. Torra Siabba

    KERO Maji machafu Stendi ya Mabasi Nyegezi - Mwanza yanahatarisha Afya za wasafiri

    NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
  10. Roving Journalist

    MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  11. Doctor Mama Amon

    Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  12. M

    Mbunge Medard Kalemani umeshindwa kupiga kelele ili stendi ya mabasi Chato ifanye kazi?

    Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu. Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
  13. T

    Stendi ya Mabasi Nyegezi na Nyamuhongolo (Mwanza) Vyumba vingi vya Biashara vipo tupu kutokana na uendeshaji mbovu

    Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
  14. Cute Wife

    Serikali Geita yatenga Bilioni 14 kukarabati na kujenga Stendi Kuu ya Mabasi

    Wakuu, Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho. Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari...
  15. Torra Siabba

    KERO Responded Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  16. T

    Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah! Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao...
  17. greater than

    Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

    KITUO CHA MABASI MWENGE Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023 Ufadhili:fedha za ndani Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja. Gharama ya ujenzi : Billioni 15 Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu. STENDI YA MABASI YA...
  18. T

    Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

    Moja kwa moja kwenye mada. Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo. Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
  19. JF Member

    SI KWELI Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina

    Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli. Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
  20. F

    Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

    Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...
Back
Top Bottom