stendi ya mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cEHO

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya Bajaj Stendi ya mabasi Magufuli: Nani anapaswa kulipa?

    Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi. Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje mtu mwenye tiketi analazimishwa kulipia ushuru wa kuingia katika Stendi ya mabasi 88 Dodoma?

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani. Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

    Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero. Mda mwingine inapita hadi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya mabasi Chemchem ya Bagamoyo ni mbovu na wahusika wameongeza ushuru

    Mimi ni dereva wa bus, ya kwanza ni kituo cha mabasi chemchem Bagamoyo, ndiyo kituo cha kwanza kupandisha ushuru kuwa mkubwa Tanzania, awali ilikuwa shilingi 2,000 kwa siku then sasa hivi wanachajisha shilingi 4,000. Wanapandisha bei wakati mazingira ya Stendi bado ni mabovu sijapata kuona...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utozaji mara mbili wa Ushuru wa stendi (Double Taxation): Stendi ya Mabasi Nyegezi

    Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu. Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza. Jambo kama hili...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azindua stendi ya mabasi ya Dkt. Samia wilayani Hanang

    Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh - Babati. Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waziri Mkuu, Mwigulu akagua maendeleo ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya chenji Stendi ya Mabasi Shinyanga, Kivuko cha Kisorya – Ukerewe inavyowanufaisha Watoa Huduma

    Machi 23, 2022 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na unaofadhiliwa na Serikali ya Uholanzi. Kilijengwa choo cha kisasa katika Stendi Kuu ya Mabasi...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Mabasi Nanenane - Mbeya kutokuwa na Taa zinazowaka Usiku ni kero kubwa kwa Watumiaji

    Kituo cha Mabasi ya Wilayani cha Nanenane kilichopo Jijini Mbeya kimegeuka kero kutokana na kukosa huduma ya taa na hivyo kuwa uasumbufu giza linapoingia. Watumiaji wengi tumekuwa tukipata wakati mgumu kutokana na kituo hicho kukosa taa kwa muda mrefu takribani Mwaka mmoja kwa sasa. Mamlaka...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi unaofanywa na mawakala wanaotoa gate pass stendi ya mabasi ya Nyamhongolo, Mwanza

    Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia. Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  13. mzalendo moyoni

    JamiiForums Tanzania Hujuma stendi ya Mabasi ya Nyegezi ( Mwanza)

    Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6). Mkandarasi anayetoa huduma amejibu kwa wepesi tuu kwamba amewapigia simu watu wa mamlaka na...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  15. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Maji machafu Stendi ya Mabasi Nyegezi - Mwanza yanahatarisha Afya za wasafiri

    NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Medard Kalemani umeshindwa kupiga kelele ili stendi ya mabasi Chato ifanye kazi?

    Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu. Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mabasi Nyegezi na Nyamuhongolo (Mwanza) Vyumba vingi vya Biashara vipo tupu kutokana na uendeshaji mbovu

    Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Serikali Geita yatenga Bilioni 14 kukarabati na kujenga Stendi Kuu ya Mabasi

    Wakuu, Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho. Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari...
Back
Top Bottom