stendi ya mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah! Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao...
  3. greater than

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

    KITUO CHA MABASI MWENGE Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023 Ufadhili:fedha za ndani Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja. Gharama ya ujenzi : Billioni 15 Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu. STENDI YA MABASI YA...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

    Moja kwa moja kwenye mada. Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo. Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina

    Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli. Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

    Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa majina yao kwenye mali na miradi ya nchi, hili jambo halina maana wala tija yoyote ile. Kwa mfano, si sawa kwa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi Luis, uwanja wa soka wa Taifa, viwanja vya ndege, madaraja, vivuko, shule...
Back
Top Bottom