startimes

  1. Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Narudia kama wapo humu wasome SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani. 🚮
  2. Startimes mod apk

    Habari wakuu, Hivi kuna mtu mwenye Mod ya StarTimes Apk (cracked apk) na kama unayo au unajua site ambayo nitaweza kuidownload please naomba nijulishe hapa.
  3. H

    Kingamuzi cha Startimes Ikiwapendeza rudisheni channel ya The Citizen

    Ikiwapendeza rudisheni channel ya THE CITIZEN kwenye Kingamuzi chenu Binafsi huwa napenda kuangalia Citizen usiku sasa siipati tena
  4. Msaada, chaneli inayoonesha "Top 20" ya muziki Startimes

    Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music. Chaneli hii ilikuwa burudani tosha kwa wale wapenda muziki hasa wa Afrika Kusini na siku ya jumamosi walikuwa na...
  5. K

    Nimelipia kifurushi Startimes tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia

    Nimelipia kifurushi tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia Nafanyeje hapa au ndo nishaliwa?
  6. D

    Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi?

    Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi? TBC ndo napata peke yake
  7. INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes na dish lake

    Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000 Kimetumika miezi 4 tu Nipo Mbezi Luis Mawasiliano 0767696021
  8. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  9. K

    Je, Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  10. K

    Je Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  11. Startimes kuna nini?

    Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani. Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi. Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa kupitia T-pesa bila mafanikio kwa maana upande wa 'Startimes'. Pesa imerejeshwa. Leo nimewasiliana na...
  12. S

    Startimes kuna tatizo gani?

    Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi Siwezi sema ni tatizo la signal strength kwamba dish imeyumba wakati local channels zinapatikana pamoja na ESPN, kama ingekua ni tatizo...
  13. Kama Azam inaonesha channel za Startimes, kwanini Serikali isiangalie hili suala ili kutunza mazingira na kuepusha gharama kwa watanzania?

    Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes. Waelewa tatizo ni Error code 69. Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C. Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
  14. Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  15. TV4Sale Nauza StarTimes, 4K Smart TV inch 55''

    AINA YA TV: StarTimes MODEL: Smart TV UPANA: inch 55'' Resolution (Ubora wa picha): 4K Bei: Milioni moja na laki moja (1,100,000/- TZS) Mahali: Kimara, Dar es salaam Kama unaihitaji TV hii tuwasiliane: 0755038159 NB: Haina tatizo lolote
  16. Startimes kampuni ya hovyo kabisa, kwa hili wajibikeni

    Achana na bei za vifurushi,achana na kuondoa local Chanel kwenye fta. Leo kupitia Chanel yao ya Tv3 walikua wakionesha mpira Kati ya Simba na raja,,wakati kipindi Cha pili kinaanza hawakurudi uwanjani mapema walidelay for 19 minutes,,,na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja...
  17. Startimes mmenigombanisha na mke wangu

    Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi. Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
  18. Dish la startimes linatakiwa chap

    Naitaji dish la startimes tu liwe ktk hali mzuri nicheck 0652500649
  19. Mfumo wa upigaji kura Startime's Best Comedy Challenge ubadilishwe

    Habari ndugu wananchi wa jamhuri ya Ukraine na Urusi. Nitangaze kuwa Mimi Ni mdau mkubwa wa vipindi vinavyorushwa na startime's channels St Swahili na St Mambo. Kilichonileta hapa jukwaani Ni kutokana na kile kilichotokea Jana kwenye mchuano wa Mang'endo na Kiredio. Kwenye ule mchuano...
  20. Sales Representatives at StarTimes (Multiple Locations)

    Positions: Sales Representatives Qualification: Bachelor’s Degree in Marketing, Sales, Business Administration or related field Years of Experience: 3-5 years experience Sales Representative positions Main Job Responsibilities Ensure target achievement on daily basis for DTT/DTH activation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…