starehe

Starehe Boys' Centre and School (popularly known as "Starehe") is a partial-board,
boys-only school in Nairobi, Kenya. The school was founded in 1959 by Dr. Geoffrey William Griffin, MBS, OBE, Geoffrey Gatama Geturo and Joseph Kamiru Gikubu. It started as a rescue centre in Nairobi. Starehe and Brookhouse School are the only African schools south of the Sahara and north of the Limpopo distinguished as Round Square members.

View More On Wikipedia.org
  1. Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

    Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia. Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
  2. Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

    Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
  3. M

    Usiende na mkeo sehemu ya starehe unayofanyaga ujinga, utaaibika

    Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana. Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua wataelewa navyosema kujazia. Sasa pale kuna ujinga ujinga wa ujana huwa nafanya Sasa jana nikasema...
  4. Pipi kijiti ni starehe katili ya wanaume dhidi ya wanawake

    Ndugu salaam Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya wanawake. Japo wengine wanawadangañya wadada kula pipi kijiti ni njia moja wapo ya kuonyesha mapenzi ya...
  5. Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

    Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike. Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako. Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru. Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
  6. M

    Vijana Kuna mwanamke wa kuoa na mwanamke wa starehe, Usijichanganye utalia

    Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona na tunakushauri wewe kijana lakini umekomaa tu hutaki kusikia,. sikiliza .usioe wanyesifa...
  7. Kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe Saudi Arabia chagonga chini, watu zaidi ya 20 wajeruhiwa

    RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Ajali...
  8. Ni kitu Gani cha kijinga ulishawai kufanya kwa starehe za muda mfupi

    Habari wakuu, Ngoja nianze kwa kusema tuwe sana makini kwenye starehe au furaha za muda mfupi. Okay Dj piga biti ni tembee na bit, Juzi kati nimetika Town (k.koo) kwenye mishe zangu za hapa na pale nataka niingie magetoni mida ya jioni kama 12 hivi, nipo zangu kituoni nasubiri gari za gongo la...
  9. B

    Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

    Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni? Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
  10. Tendo la ndoa sio kwa starehe

    Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea. Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko. 1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa. 2: wazee wa kale...
  11. Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

    Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
  12. Kwa miaka 10 iliyopita sijaona mtu anayeongoza kwa kuishi maisha ya Anasa, Starehe na Gharama ya hali ya juu ulimwenguni kama huyu mwamba

    Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
  13. S

    Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

    Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!! Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa. Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
  14. Masaji ni starehe ambayo watu wanaichukulia poa sana

    Kushikwa shikwa mgongoni, hata kama bila mafuta, yani mikono mikavu tu, kuna relaxation unaipata. Yani kama ni usingizi unakuja bila ya wewe kujua, kwa maoni yangu hii ndio starehe kubwa, na pia inafaida nyingi sana kiafya.
  15. R

    Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  16. Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Wanasema tembea uone Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia Ukerewe ni Moja ya wilaya za mkoa wa Mwanza Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20 Nilitembelea baadhi ya visiwa...
  17. Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

    Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
  18. B

    Wanaume, mshawahi nunua dadapoa wanaojiuza sababu ya starehe?

    Hello Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha. Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya...
  19. Kwanini kwenye kumbi za starehe wanawake huwa mnasindikizana vyooni? Mnafanyaga nini huko?

    Hii kitu inanishangaza sana. Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga. Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
  20. G

    Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

    Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa. Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…