Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya...