kwema wakuu?
kwa wale tunaopenda kubet naomba msaada najribu ku login sportpesa inakataa na username na password nimeziandika vizuri tu. Sijajua tatizo liko wapi
Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa
Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75.
---
Mabingwa wa...
Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine.
CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni...
Cheza sasa kwa 1000 ushinde Bilioni 1 na SportPesa.
Ni Supa Jackpot Ya Bilioni Moja kwa 1000. Jackpot mbili kila wiki za SportPesa!.
Dar es Salaam. 25 Mei ,2022. KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa leo imezindua rasmi Jackpot mpya inayoitwa Supa Jackpot kama moja ya huduma yao nyingine...
Ndugu wanabodi kwanza niwape salamu, lakini kipekee nimpe salamu za heshima ndugu yetu hapa jamvini Pascal Mayalla , ambapo amekuwa kitujuza mambo mbalimbali haswa mada zake za Voice from within, binafsi nimekuwa shabiki wake bila kujali mada hizo zinamrengo gani.
Bila kupoteza muda, kama...
Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi.
Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
• Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
• Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki.
Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
The Directorate criminal investigation (DCI) is investigating an incident in which a son of major Sportpesa shareholder and former Nairobi Mayor Dick Wathika committed suicide in Nairobi
The young man identified as Kanyiri Wathika is a son of a major Sportpesa shareholder. He was found dead in...
=======
Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
Leading betting firm SportPesa has cancelled all sponsorship deals in the country.
This comes as a surprise to many despite a court case currently being heard. In a statement in the firms website, SportPesa expressed regrets in cancelling all sponsorship it currently has with immediate effect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.