spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Spika Dkt. Tulia Ackson

    Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma. Umevitafsiri unavyotaka wewe ili lengo lako la kumwondoa Bungeni litimie, lakini sio tafsiri halisi ya...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi wa kutisha kupitia sukari ulioibuliwa na Mpina litamuangusha ubunge Spika

    Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  4. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Tulia tuambie, ushahidi wa Mbunge Mpina umeuonaje?

    Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi. Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

    Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
  7. JamiiForums Tanzania Nampongeza Spika Tulia Akson kwa msimamo wake dhid ya wabaya wa Bashe. Tuliona huko nyuma Lowassa akisungiziwa kwa maneno kama ya Mpina

    Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea watanzania kukosa huduma ya kiongozi jasiri na shupavu. Kimsingi matatizo yote yanayotukabiri Leo...
  8. JamiiForums Tanzania Endeleeni kudhani la Sukari ni la Bashe, Mpina na Spika wa Bunge ila Mlengwa Mkuu anahaha baada ya Kushtukiwa kupiga Dili na Mwana

    Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao. Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu )...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia, usijaribu kupindisha point ya Luhaga Mpina

    Mh. Spika, kwa nini unataka kumlinda mwizi kwa kumfunga aliyetoa taarifa za wizi? Watanzania wa sasa wana akili na wanaelewa unachotaka kukifanya. Tunataka kwanza hoja za Mpina zijibiwe barabara ndipo uje na hizo hoja zako dhaifu dhidi ya Mpina.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia, ukweli wa aliyosema Mpina haubatilishwi kwa kumkasirikia kwamba amekiuka kanuni za Bunge na kudai hakuheshimu!

    Wala haihitaji akili kubwa sana kuona kwamba Spika wa Bunge Tulia na jopo zima la uongozi wa serikali wametambua kwamba Mpina amewaumbua kwa kuweka wazi uongo wanaoufanya kuwahadaa Watanzania. Na sasa wanataka kubadilisha uzito wa tuhuma za uongo wa Waziri Bashe na kuelekeza fikra kwa ukiukwaji...
  12. JamiiForums Tanzania Spika Tulia, Kanuni zako haziondoi Uhalali wa shahidi za Ushahidi wa Mpina dhidi ya uongo wa Waziri Bashe !!.

    Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!. Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi...
  13. JamiiForums Tanzania Spika wewe ni kiongozi wa Mhimili wa Bunge, iache Serikali ijipambanie yenyewe sakata la sukari

    Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutokuwa na Imani na Spika wa Bunge la Tanzania

    Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT. Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim. Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe nukuu za Job Ndugai, Spika wa Bunge Mstaafu

    1- Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni. 2- Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane...
  16. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson aagiza Kamati iwaite Wakurugenzi wa NSSF na PSSSF Bungeni kueleza kuhusu michango ya Wanufaika

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika, kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili waweze kupatiwa mafao...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji bass spika ya mziki wa gari 10 inch

    Wakuu mulibwanji..... Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi. Iwe 4 ohms Iwe na double coil Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2. Iwe haijawahi ungua. Angalia hiyo kwenye picha mfano wake sasa iwe kama hiyo kama ipo nicheck 0756 412 380
  18. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Barabara ya Dodoma - Iringa inajengwa upya lakini haina umri wa kujengwa upya

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali akitoa mfano Barabara ya Dodoma – Iringa ambayo imekuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dkt. Tulia asisitiza Wizara ya Ujenzi kuzingatia ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali

    SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia naomba kutoa hoja ili tujadili suala la dharura kuhusu mvua zinazoendelea nchini

    Mh Spika, nasimama kwa kanuni inayoruhusu mbunge kuomba bunge lisitishe shghuli zake na kujadili jambo la dharura linaloendelea nchini. Mh Spika, mvua zinazoendelea nchini zimesababisha madhara makubwa kwa wananchi ambapo takwimu za leo zinaonyesha watu 160 wamepoteza maisha huku nyumba kws...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…