spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Tulia kabla hajawa Spika

    Kwenye pita pita nikakutana na pisi kali moja nikajiuliza huyu ni nani? Kumbe ni Dr. Tulia. Kipindi hicho bado hajapata wadhifa mkubwa na pesa hazijaanza kuingia, alikuwa ni manzi mkali aisee.
  3. JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  4. JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai atakumbukwa kwa yapi zaidi kama legacy yake?

    Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi. Zaidi sana ni bunge...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  7. JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya majivuno ya Marehemu Spika Job Ndugai ndani ya Bunge

    Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu? Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Protocols za Mazishi ya Spika Mstaafu zipoje?

    1. Atapigiwa mizinga? 2. Bendera ya Taifa je? NB: utaratibu wa Misosi na vinywaji hapo Msibani upoje?
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Kongwa wameendelea kumbana aliyewahi kuwa spika Job Ndugai

    Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura. Chanzo: Jambo Tv
  11. JamiiForums Tanzania Aliyepambana na JPM ndiye hamtaki Mama. Polepole ni spika tuu

    CCM Hoyee... Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania 2025 - 2030: Spika wa Bunge apewe Mzanzibar kwa mara ya kwanza

    Haya ni mawazo yangu tu. Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia. Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia. Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim. Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani. Zanzibar bado...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Spika Mpya 2025-2030?

    Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  17. JamiiForums Tanzania Spika Tulia awaka Wabunge kuongea na Wajumbe kwa Simu Bungeni, atishia Kamera kuwamlika

    Spika Dkt. Tulia alivyowataka Wabunge kupunguza sauti na kuepuka kuongea na Simu na Wajumbe Bungeni; "Mnaanza kidogo kidogo, halafu zinapanda" "Waheshimiwa Wabunge mnajadiliana mambo ya msingi sana lakini punguzeni sauti, wale mnaoongea na simu mnaanza kuongea kidogo kidogo lakini baadaye...
  18. JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Spika kuhusu hukumu ya mahakama na kile ninachokiona

    Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo; 1. Spika...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Spika, Zungu: Marufuku kuvaa sare za Chama bungeni

    Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi au mashabiki wa vyama vya siasa kwa alama, nembo, maandishi ambavyo hutafsiriwa kwa jina, alama...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…