spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kupata Katiba Mpya itayolinda na kutetea maslahi ya Umma. Hajabagazwa Spika Ndugai bali Watanzania wamebagazwa

    Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa. Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive...
  2. JamiiForums Tanzania Msuguano baina ya Spika na Rais ni ulevi wa madaraka

    Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama. Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Huu hapa utaratibu wa kumuondoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sehemu ya 16 ya kanuni za kudumu za Bunge inafafanua kwa uzuri kabisa jinsi ya kumuondoa Spika na Naibu Spika. Enjoy!
  4. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, ili kujenga heshima jiuzulu Uspika wa Bunge

    Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika. Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai alikuwa na hoja ya msingi, tatizo sio kukopa bali kukopa wakati kuna tozo za miamala ambazo mlidai zanajenga madarasa na vituo vya afya

    Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi. Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika pekee Tanzania kuwahi kuchukiwa na watu

    Nasema haya yote kutokana na mienendo yake mbalimbali na matatizo yanayomkuta huyu Spika wa bunge hasa toka afariki JPM. Nadiriki Kusema anachukiwa na watu tena wengi kwa sababu, Huyu ni Spika ambaye hata akifanya au kuongea Jambo dogo tu lazima watu wamnange. Kunangwa huku kunadhihirisha kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria ya uchochezi haifanyi kazi kwa Spika nje ya Bunge?

    Kusema nchi itapigwa mnada na mtu mkubwa mwenye taarifa nyingi kuhusu nchi haitoshi kuwachochea watu wavunje Sheria? Haitoshi kuwatia watu taharuki na hofu kubwa? Haitoshi kuchocbea mapinduzi? Haitoshi kuitwa uhaini? DPP hii ni kawaida?
  9. JamiiForums Tanzania Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

    Wanabodi, Niliposema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati kipo kwenye Katiba yetu?, sema haijatokea tukapata rais wa kulazimika Kuondolewa. Leo ninazungumzia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

    Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani? Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo. Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali. Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...
  11. JamiiForums Tanzania Niwaulize wanaccm wenzangu, kwani Spika Job Ndungai amekosea nini?

    Mimi nashindwa kuelewa sijui hua ni ibilisi gani anatua kwenye chama chetu? Niwaulize tena wanaCCM wenzangu,Spika Job Ndungai amekosea nini kiasi cha kumtolea maneno makali katika kila angle ya nchi? Binafsi sijawahi kumpenda bayana Ndungai kutokana kejeli zake bungeni, sikuwahi kumpenda kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais Mwanamke, Spika Mwanamke, na Jaji Mkuu mwanamke?

    Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani? Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid and mascular sana, nao si watuletee mwana mama? ili tukamilishe utatu? mzee wa trend reading...
  13. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

    Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
  14. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
  15. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

    Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo. Spika Ndugai amesema wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

    SPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI "Mengi mnayoyasikia wakati mwingine sio kweli kihivyo, nchi yetu ina upotoshaji mkubwa sana wa mambo mengi, na sisi viongozi siwezi kusimama leo nifafanue hili, kesho nifafanue lile...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana walipitisha Sheria ya Spika kuwa na kinga ya kutokushitakiwa, kumbeee!

    Panapoukweli uwongo hujitenga. Ndio maana mihimili mikuu ya dora ni mitatu nayo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Mihimili hii kikanuni na ukweli inapaswa kufanya kazi kwa uhuru, bila kuingiliana ila hufan ya kazi kwa kutegemeana. Kamwe mhimili mmoja usingilie mihimili mingine huo ndo ukweli...
  18. JamiiForums Tanzania Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

    Remember
  19. K

    JamiiForums Tanzania Chaguo la Magufuli (Naibu Spika) mkao wa kula

    Baada ya beef za Ndugai kwa Rais Samia naibu spika amekuwa mkimwa sana akisubiri spika ajichimbie shimo mwenyewe. Sasa huu mwanja ni mzuri kwake. Ndugai hata Magufuli alikuwa hampendi
  20. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

    Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…