songwe

Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hii ndio maana ya mama mwenye huruma na upendo. Rais Samia awagusa na kuwapa tabasamu watoto yatima na wenye mahitaji maalumu mkoani Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Anafanya Kazi ya kitume ,kazi yenye Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu,Kazi impendezayo Mwenyezi Mungu,Kazi yenye Kugusa Maisha ya Watu ,kazi yenye kuleta tabasamu na furaha kwa watu. Kwa hakika Rais Samia ni Mfariji wa Taifa . Ni kiongozi mwenye Moyo...
  2. JanguKamaJangu

    Serikali ya Kijiji yajiuzulu, wahusika waitupia lawama CCM Kata wa Hezya - Mbozi Mkoani Songwe

    https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
  3. Just Pray

    Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  4. figganigga

    KERO Kuanzia airport Mbeya mpaka Songwe njia imefunga

    Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi Songwe: Tumewakamata Isakwisa Lupemba, Ally Mnyafundo kwa kushiriki katika makundi ya mtandaoni yanayohamasisha uhalifu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa na kuonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, Isakwisa Lupembe na Ally Mwafongo, wametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi. Taarifa ni kwamba, huko katika...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo wamevamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa wanawapeleka Polisi. Lakini hadi asubuhi hii hawapo katika vituo vya polisi na hivyo hadi sasa hatujui...
  7. 100 others

    GE2025 Songwe: Nyumba ya Polisi yachomwa Moto na watu wasiojulikana

    Kazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa ============== Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. Akizungumza leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Japheti Hasunga aahidi kutafuta timu ya ligi kuu Songwe

    AHADI imetolewa kwamba wagombea ubunge na udiwani wa CCM wakichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu watahakikisha Mkoa wa Songwe unapata timu inayoweza kushindana kwenye ligi kuu. Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Vwawa kupitia CCM, Japheti Hasunga ametoa ahadi hiyo jana alipoomba kura kwenye mkutano...
  9. L

    GE2025 PICHA: Rais Samia aitetemesha Tunduma. Helikopta zatanda angani na kuteka anga zima la mkoa wa Songwe. Apokelewa kishujaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia anapendwa na watanzania ni haijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Mama anapendwa kuliko kitu kingine chochote kile hapa Duniani. Mama anakubalika kuliko mtu yeyote yule hapa Nchini. mama anaaminika na kuungwa mkono mpaka watu wanatamani...
  10. S

    Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  11. Anonymous

    DOKEZO Ujenzi Hospitali ya Mkoa Songwe unaenda kwa mwendo wa konokono, Serikali ijaribu kuangalia hilo

    Nichukue nafasi kupongeza utendaji kazi wa Wahudumu waliopo Hospitali ya Mkoa Songwe iliyopo nje kidogo ya Mji wa Vwawa Mbozi kwa utoaji wa huduma. Changamoto iliyopo hapa ni ujenzi unaenda kwa mwendo wa konokono taratibu mno Serikali ijaribu kuangalia hilo. Changamoto nyingine ni upungufu wa...
  12. Just Pray

    GE2025 Hawa ndiyo wanaowania ubunge kupitia CCM mkoa wa Songwe

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Songwe katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  13. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Songwe: Condester Sichalwe aongoza kwa kura 4,872 Jimbo la Momba

    CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872. Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano...
  14. L

    WanaSongwe watembea na kusafiri kumdhamini Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe. Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu...
  15. Nipe Maji

    GE2025 RC Songwe awataka wachimbaji wadogo kuwa na leseni

    Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
  16. Just Pray

    GE2025 Juliana Shonza aongoza kura za maoni viti maalum Songwe

    Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo. Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema...
  17. Nipe Maji

    GE2025 Shilingi bilioni 200 kuondoa kero ya nishati ya umeme Songwe

    Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme mkoani humo.
  18. Roving Journalist

    RC Songwe - Jabir Makame: Vijana wenzangu, waoneni Watoto wakike kama nyara za Serikali

    MKUU wa Mkoa wa Songwe, Jabir Omari Makame, ametoa onyo kali kwa vijana wanaojihusisha kimapenzi na watoto wa kike na wanafunzi wakike, akisisitiza kuwa wasichana hao ni "nyara za serikali" na jamii inapaswa kuwalinda kwa nguvu zote. Makame alitoa kauli hiyo Julai 23, 2025, wakati...
  19. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali kupitia TANROADS yasaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami mkoa wa Songwe

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mkoa wa Songwe, hatua inayolenga kuboresha miundombinu, kurahisisha usafiri na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya Naibu Waziri wa...
Back
Top Bottom