Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima.
Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote...