soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada mwenye kujua jinsi kilimo cha korosho, soko lake lipoje pia?

    Wakuu naombeni anae jua kilimo Cha korosho kinaendeshwaje, bei ya korosho, jinsi ya kuongeza thamani nk
  2. I

    JamiiForums Tanzania Soko la zao la Beetroots

    Habarini wana JF. Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza hivi mtu akiingia shamba akalima kwa wingi vipi soko lake likoje especially kwa Dar? Mimi nipo...
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka soko liitwe soko mjinga linakuwa na sifa gani

    Wahenga walifikiria Nini wakayatungia majina masoko wakayaita soko mjinga na yapo kila mkoa..maana yake Nini kwamba ni soko chafu au dogo au lisilo kuu maana nawaza je soko likiwa mtaani ila safi la kisasa na lenyewe tuliite soko mjinga?
  4. JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  5. JamiiForums Tanzania Tumejipangaje kama nchi kuliteka soko la USA baada ya mchina kuwekewa tariff?

    Wote ni mashahidi jinsi vita vya tariffs baina ya US na China kwa jinsi ilivyo ni kwamba trade will go into stop. huwezi weka tariffs za 50% na ukategemea biashara iende. so tunaenda kwenye completely halt ya trade. Ukiangalia US analia un fair play kutoka kwa china na mchina nae anasema...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Soko la Soya

    Kwa ambae ana connection na soko la soya msaada tafadhali. Mzigo upo mwingi.
  7. JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Soko la Mawenzi Morogoro halina maji

    Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila Butcher ya kitoweo na hadi maliwatoni watu wameweka madumu ya maji hali iliyopelekea nitake kujua...
  9. JamiiForums Tanzania Jafo aipongeza iTrust Finance kudhamini Soko la Jiba Souk

    WADAU na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za kifedha nchini, iTrust Finance Limited kwa kudhamini jitihada mbalimbali ikiwa ni pamoja na masoko ya bidhaa za wafanyabiashara wadogo na wa kati hususani wanawake. Rai hiyo imetolewa jana na Waziri wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Soko la kimataifa EACLC Ubungo watakaopangishwa asilimia 95 ni watanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na ndani ya Tanzania, huku akisisitiza kuwa Watanzania ndio wanaofaidika zaidi na uwekezaji huo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya

    Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko la Majengo Dodoma na maswali ninayojiuliza

    Mnamo tarehe 3 Machi, katika pitapita zangu Mitaa ya Majengo nikiwa natoka kazini nilisikia Tangazo (PA) Kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuwa kuanzia tarehe 6 Machi wataanza ubomoaji wa Soko la Majengo na kuanza Ujenzi ambao utachukua miezi 12, hivyo baadhi ya Barabara zitafungwa ili kuruhusu...
  13. JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Manispaa Moshi watoa ufafanuzi wa madai ya jengo la soko kugharimu bilioni 2, wasema ni bilioni 1.5 awamu ya 2 inaendelea!

    Wakuu, Mdau humu alihoji bilioni mbili zimetumikaje kwenye soko ambalo limejaa bati tu na vijumba vi fremu vya mchongo? Jamaa wamekuja na ufafanuzi, kuwa bilioni 1.5 ndio zimetumika kwenye ujenzi wa soko hilo na milioni 500 ndio zinamalizia awamu ya 2. Hii inamaanisha watakuwa washatumia kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mradi wa Soko la Mbuyumi: Mabadiliko ya Ajabu ya DC Moshi, kutokukemea Rushwa kwenye miradi ya maendeleo

    Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini. Huyu si mwingine bali ni DC wa Moshi, ambaye alionekana kuwa na dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya kufanyika uchunguzi Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni (Manispaa ya Moshi) kwa thamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wakulima wa zao la Parachichi hawana soko - Njombe

    Nauliza tu! Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi? Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana! Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la pumba za mahindi na mashudu kama unahitaji

    Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu sogea tufanye Biashara ASAP
  20. JamiiForums Tanzania TRUMP: Sitizami soko la hisa

    Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ? Huyu ni Rais Trump 2020...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…