Soko la Kariakoo ni soko kuu jijini Dar es Salaam na Tanzania ambapo kunafanyika biashara za aina zote za mahitaji muhimu ya kila siku ya binadamu. Biashara katika soko hili zinafanyika kwa jumla na rejareja.
Soko hili linajumuisha majengo mawili makuu (soko kubwa na soko dogo) pamoja na maeneo yanazunguka majengo hayo. Soko la Kariakoo lipo katikati ya jiji la Dar es Salaam na ndiyo chanzo cha eneo zima la Kariakoo kujulikana kwa jina hilo.
Jengo la Soko Kuu la Kariakoo lipo katika kiwanja namba 32 mtaani Kariakoo, katikati ya makutano ya mtaa wa Mkunguni na mtaa wa Nyamwezi na limezungukwa na mitaa ya Nyamwezi, Mkunguni, Sikukuu na Tandamti.
Mwaka 2021 soko hilo liliungua na moto jambo lililofanya shughuli sokoni hapo kusitishwa ili kupisha uchunguzi na badaye ukarabati, na mpaka kufikia April 2024 ukarabati wa soko hilo ulikuwa umefika 93%
Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana.
Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo.
Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya...
KUNA HISTORIA KUBWA YA MWALIMU NYERERE NDANI YA SOKO LA KARIAKOO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelifungua Soko la Kariakoo jana Jumapili tarehe 8 February 2026.
Nimepata siku za nyuma kuandika makala kuhusu Soko la Kariakoo nikasema kuwa lazima liwekwe bango litakaloonyesha kuwa hapo...
Tupo salama!
1. Leo katika mishe mishe zangu nilibahatika kufika Kariakoo.
2. Mara nyingi Siku ya jumapili kwangu ndio Siku ambayo napendaga Kwenda kariakoo kutokana na Jam kuwa ndogo tofauti na Siku zingine.
3. Lakini pia usafiri unakuwa hausumbu. Kama ujuavyo Sisi tusio na magari lazima...
Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam.
Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo, Dar es Salaam Februari 08, 2026 baada ya soko hilo kufanyiwa ukarabati.
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kwa Samia kwenda kwenye soko la Kariakoo mara ya mwisho tarehe 1 Juni 2021. alipofanya ziara ya ghafla, na kisha kuzungumza na...
Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa.
Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;-
Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia
Usafi utakuwa wa hali ya jùu...
Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa mikataba, hali iliyosababisha ongezeko la gharama na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi.
Kusoma...
Haya ndio madhara ya Bunge na Serikali vyote kutoka kwenye chama kimoja. Yaani hizi kamati za Bunge kazi yake imekuwa ni kupongeza tu. Sijawahi kuona hata mradi mmoja ambao hizi kamati zimesema kama hauendi vizuri.
Tukisema hizi ni kampeni za Uchaguzi mtakataa...
Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
Katika kuhakikisha biashara zinafanyika saa 24, Jiji la Dar es Salaam limeingia mkataba na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unaogharimu jumla ya shilingi milioni 514 wa usimikaji wa mifumo ya kamera za ulinzi katika barabara na maeneo ya Kariakoo ambapo jumla ya kamera 40...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi.
Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya utiaji saini wa miradi mitano muhimu inayolenga kuboresha huduma za jamii na...
Wakuu,
Hivi kulikuwa na haja ya watu kuitisha press kutuambia kuwa wamefikia asilimia 50 ya majukumu ya kazi yao?
Kwanini wasingetupa majibu baada ya kupata majibu kamili?
===============================================
Baada ya Rais Samia kutoa agizo la kuanzishwa kwa tume ya siku 30...
Wakuu,
Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule?
======
Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema zoezi la kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo lililopata ajali ya moto Julai 10, 2021 na kusababisha wafanyabiashara hao kuondolewa na shughuli kusimama, linatarajiwa kuanza mapema Februari mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa...
Rais Samia amesema Serikali imejipanga kujenga Soko kubwa kama la Kariakoo eneo la Jangwani kupitia pesa za utekelezaji wa mradi ya DMDP ambapo baadhi ya wafanyabiashara (Machinga) watahamishiwa huko pindi litakapokamili.
Soma: Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.