soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. JamiiForums Tanzania Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
  2. JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Kenya lahairisha Deby ya Mashemeji.

    Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) siku ya Ijumaa limetangaza kuahirisha mechi ya Ligi Kuu nchini humo "Mashemeji Derby" baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambayo iliratibiwa kuchezwa Jumapili, Mei 11, 2025. Kupitia taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo ilieleza kuwa uamuzi huo umefanyika...
  3. JamiiForums Tanzania HATUCHEZI..YANGA MUWE NA MSIMAMO KUOKOA SOKA LA NCHI YETU HAWA WANAZI WA SIMBA KWENYE BODI WAAIBIKE

    Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA NARUDIA...
  4. JamiiForums Tanzania Leo katika historia ya soka Tanganyika

    Kuna timu ilikula mkono bila majibu.. Ngumi ya kichogo
  5. B

    JamiiForums Tanzania The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
  6. JamiiForums Tanzania Dakika za majeruhi (nyongeza) kwenye soka ni usanii kwa 100%, wapenda soka wote mmefanywa wajinga kabisa.

    Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea. Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao. Hakuna mtu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sheria za soka zifuatwe 100% ili soka Tanzania likue

    Tumeona waamuzi wengi wamekuwa wakichotwa na propaganda za timu moja inayoishi kwa kudanganya mashabiki wao. Ninashauri ili kulisaidia soka la Tanzania,sheria zote za mchezo wa soka zifuatwe ili vijana wajifunze kuwa na nidhamu kwenye soka na hata wakishiriki kimataifa wasipate shida kwa sababu...
  8. JamiiForums Tanzania TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu!

    Wadau na wapenzi wa mpira! Niiombe TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu! Kwani hawa watu ndiyo wanarudishaa maendeleo ya soka letu! Japo najua ni vigumu sana kuwakamata ila mkiwa wakali...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wanasimba wanaomlaumu Ahoua pengine sio wafuatiliaji wa soka.

    Ahoua kazi yake ni mcheza mpira,anajua kabisa kufunga goli kwake ni Pesa ,utajiri na maisha mazuri. Anajua kabisa akifunga goli hasa katika michuano hii ya CAF atazawadiwa fedha nyingi, fedha za mama,mashabiki na wafadhiri. Anajua jina lake litaandiikwa kwenye vitabu vya CAF,Clabu ya Simba na...
  10. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni ngumu ama?

    MWAMBA SKUDU MAKUDUBELA AKIWA NA AS VITA MECHI 6 MABAO 10 ASSIST 4
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  12. JamiiForums Tanzania DRC kuwekewa vikwazo na FIFA baada ya kiongozi wa soka la wanawake, Olive Kiloha kufungwa Machi 28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu. Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhalini wapenzi wa soka na mpira kwa ujumla

    Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi. Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  15. JamiiForums Tanzania Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini kuwa Soka la Zambia sasa limekwisha na kuwa la Kipuuzi. Hivi Chama na Musonda wana Kiwango cha kuitwa National Team sasa?

    Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC Kibiashara na Kimichezo na kwa Kitendo cha Kocha wa Timu ya Taifa za Zambia kuwaita Wachezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wachambuzi gani wa soka hapa bongo unawaelewa zaidi?

    Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam Na huyu kijana aliepo east africa Atleast wapo logically and un-biased
  19. JamiiForums Tanzania Takwimu za Soka la Ulaya wiki hii, Haaland, Guardiola, Nuno, Mbappé

    Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94 Manchester City imefungwa Magoli 40, ni mengi kwa timu hiyo kuwahi kufungwa ndani ya msimu mmoja katika Premier League...
  20. JamiiForums Tanzania NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…