soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. T

    JamiiForums Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi. Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
  2. N

    JamiiForums Hivi kweli Azam FC timu iliyokuwa inategemewa kuleta mapinduzi ya soka inazidiwa point 23 na Yanga inayoongoza ligi?

    Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri. Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
  3. B

    JamiiForums Uzalendo kwenye soka la Simba na Yanga

    Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine. Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...
  4. JamiiForums Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

  5. JamiiForums Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  6. JamiiForums Mpira wa Tanzania unaharibiwa na vilabu viwili -- Simba na Yanga

    Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi. Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu umewekezwa sana kwenye simba na yanga na si vingine. Na kila mchezaji yoyote utaka kuingia kwenye hivo...
  7. M

    JamiiForums TFF Wekeni Sheria, Tumechoka na wachambuzi waliokosa weledi wa soka hapa bongo

    Tumechoka na wachambuzi maandazi wa soka hapa bongo!! Utakuta mtu hajaweahi hata kucheza mpira ligi yoyote, anatokea kuwa eti mchambuzi wa soka huku akiwakosoa marefarii waliosomea kazi yao. Wengine wanadiriki hata kuwakosoa makocha wenye digrii zao!!! Wakome!! TFF chimbeni biti kali kuwa ni...
  8. B

    JamiiForums MISAMIATI YA UCHAMBUZI WA SOKA

    Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika...
  9. B

    JamiiForums Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
  10. JamiiForums Soka siyo ushkaji ni biashara, ishu ya kipa wa YANGA iwe somo kwa Mtibwa na klabu nyingine

    Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao. Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli, lakini Mtibwa Sugar kupitia Ofisa Habari, Thobias Kifaru anaibuka na kudai kuwa Yanga hawajakamilisha...
  11. JamiiForums CAF CHAMPIONS LEAGUE: Al Ahly, Zamalek ni anguko la wababe wa Misri au soka la Afrika limekua?

    Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika. Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
  12. W

    JamiiForums Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

    Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
  13. JamiiForums TFF ndiyo wanamiliki soka hapa nchini?

    Nimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama TANESCO walivyo na monopoly kwenye kuzalisha na kuuza umeme? Kwamba ukitaka kufanya shughuli zozote za...
  14. JamiiForums TFF yamfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka miaka mitano, mwingine afungiwa MAISHA

    Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano. Dauda ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF amefungiwa kwa kwenda kinyume na Kanuni ya Maadili pamoja na Kanuni za TFF akidaiwa...
  15. M

    JamiiForums Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

    Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
  16. JamiiForums Neymar afikisha miaka 30 leo. Dunia ya soka bado inamdai huku muda ukiwa unamuacha

    Neymar Jr mchezaji wa PSG na timu ya taifa ya Brazil, leo ametimiza miaka 30. Wakati Neymar akisheherekea kutimiza miaka 30 ya kuzaliwa kwake, Dunia ya soka bado ina deni kwake. Tuliaminishwa na gwiji wa soka wa Brazil Pele kuwa Neymar atakuja kufuta ufalme wa Messi na Ronaldo na atatwaa...
  17. JamiiForums Je, Mason Greenwood atapotea kwenye ramani ya soka kama Adam Johnson?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Naomba niseme kidogo kwa anayopitia huyu mchezaji mwenye kipaji bwana mdogo Mason Greenwood kwa sasa. Mwaka 2015 mchezaji wa Sunderland na timu ya Taifa ya Uingereza Adam Johnson alikamatwa na kushtakiwa kwa kushiriki mapenzi na binti wa miaka 15 ambaye ni...
  18. M

    JamiiForums Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  19. JamiiForums Wachezaji maarufu wa mpira Tanzania, ni nani aliyewaroga?

    Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale wasanii ambao wanavuma na Nyimbo 2 au Tatu wamekuwa Wakilamba Baadhi Ya Deals Katika kampuni. Ipo kwa...
  20. Q

    JamiiForums Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…