Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine.
Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...