sms

SMS (short message service) is a text messaging service component of most telephone, Internet, and mobile device systems. It uses standardized communication protocols that let mobile devices exchange short text messages. An intermediary service can facilitate a text-to-voice conversion to be sent to landlines.SMS, as used on modern devices, originated from radio telegraphy in radio memo pagers that used standardized phone protocols. These were defined in 1986 as part of the Global System for Mobile Communications (GSM) series of standards. The first test SMS message was sent on December 3, 1992, when Neil Papwort, a test engineer for Sema Group, used a personal computer to send "Merry Christmas" to the phone of colleague Richard Jarvis. SMS rolled out commercially on many cellular networks that decade and became hugely popular worldwide as a method of text communication. By the end of 2010, SMS was the most widely used data application, with an estimated 3.5 billion active users, or about 80% of all mobile phone subscribers.
The service allows users to send and receive messages of up to 160 characters (when entirely alpha-numeric) to and from GSM mobiles. Although most SMS messages are sent from one mobile phone to another, support for the service has expanded to include other mobile technologies, such as ANSI CDMA networks and Digital AMPS.Mobile marketing, a type of direct marketing, uses SMS. According to a 2018 market research report, the global SMS messaging business was estimated to be worth over US$100 billion, accounting for almost 50 percent of all revenue generated by mobile messaging.

View More On Wikipedia.org
  1. astalavista

    Usikubali wakuuzie bei ya juu, njoo upate BULK SMS kwa Tsh. 7

    Unataka kuwafikia wateja wako haraka? Tuma Bulk SMS kwa TSh 7 tu kwa SMS moja ukichukua kwa wingi. Inafaa kwa: Biashara, Shule, Betting, Promotions, Makanisa, na Kampeni za matangazo. ✔ API Integration Bure ✔ Bulk SMS Portal Bure ✔ Training Bure ✔ Support Saa 24/7 Anza leo kuongeza wateja...
  2. astalavista

    Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  3. astalavista

    Miliki Sender name ya ofisi yako kwa matumizi ya Bulk SMS

    Ni rahisi sana, sisi ONFON MEDIA tunakutengenezea mfumo wa Bulk SMS buree na msg chache za trial. Baada ya hapo utakuwa na hiyari ya kununua msg toka kwetu Kwan ya matumizi ya ofisi yako. Bulk SMS inafaa kwa; Promotion Kupush taarifa Kukumbusha ada kwa shule Kuweka appointment na wagonjwa kwa...
  4. astalavista

    Jipatie mfumo wa BULK SMS bure na msg za trial.

    Fanya ofisi yako kuwa ya kisasa inayokwenda na wakati, tumia huduma ya bulk sms kuwafikia watu wengi zaidi na kwa haraka. Kwetu sisi mfumo tunakupatia bure ukiwa na msg kadhaa za kujaribu. Nipigie 0795790411
  5. Stroke

    Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

    Wakuu , Kumeibuka wizi wa kupitia ATM. Hasa ile benki flani hivi. Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS. Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
  6. The Magnifico

    Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

    Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi! Acheni kutujazia simu buree!
  7. Damaso

    Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  8. N

    PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  9. astalavista

    PATA HUDUMA YA BULK SMS kwa sh. 9/=

    Ni huduma muhimu inayopatikana kwa gharama nafuu mno. Bulk sms inakufaa sana wewe mfanyabiashara, Kampuni/ Taasisi hata mtu binafsi. Gharama zetu ni kuanzia shilingi 9 hadi shilingi 15 kwa kila msg. Kwetu sisi mteja atawekewa mfumo wa Bulk sms buree pamoja na training ya kiwango cha kuridhisha...
  10. Analogia Malenga

    LATRA kama wamenipania na sms zao

    Hawa LATRA leo wameamka na mimi maana tangu asubuhi haipiti nusu saa bila kupata sms zao. Hivi kuna posho kwenye hiyo conference.
  11. M

    Watu mliokuwa mnapigiana simu kawaida na kutumiana sms, hao ndio watu wako sasa

    Hao ndio watu wako sasa wale wa Magrupu, Insta, Tiktok, n.k. wachukulie kama wa ziada.
  12. Binti wa zamani

    PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

    Nani mwingine amepata hii SMS ???
  13. M

    GE2025 Kama Samia anavotuma SMS za uchaguzi kwa nini na sisi tusitume za Maandamano?

    Kumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano? Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao. Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha...
  14. JanguKamaJangu

    Idadi ya SMS ndani ya nchi yaongezeka 💬kutoka Bilioni 52.8 (Juni 2025) hadi Bilioni 52.9 (Septemba 2025)

    Idadi ya SMS ndani ya nchi imeongezeka kutoka SMS bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 hadi kufikia bilioni 52.9 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 0.2. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha kuwa Mwezi Septemba...
  15. H

    Mahakama iruhusu WhatsApp na SmS kutumika ktk kutoa wito wa mahakama

    Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza gharama kwa mdai na mdaiwa kama ilivyo kwa e.mail. Mahakama haiwezi kujinadi kuwa imeingia kwenye...
  16. M

    GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
  17. Think2

    Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

    Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako. Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini?? Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
  18. comrade_kipepe

    Hii sms imekuaje inakuja na jina hili?

    Natumia TRUECALLER
  19. K

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  20. Champion number one

    Huku kupenda au kero sms laki 1 ?

    Kabla ya kusema umependa ifahamu hii, Mwanamke mmoja huko Arizona alikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ufuatiliaji wa mtu (stalking) baada ya kudaiwa kutuma zaidi ya ujumbe 159,000 kwa mwanaume aliyekutana naye kupitia app ya kutafuta wachumba. Ujumbe huo ulikuwa na maneno ya mapenzi, lakini...
Back
Top Bottom