siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Hello Shalom! Naongea na wakomavu ambao wanahitaji chakula kigumu na si uji tena. Uhai wa Mkristo uko katika maombi, mkristo ambaye haombi huyo ni mkavu, aidha amekufa kiroho au anakaribia kufa kiroho. Hivyo ni wajibu wa kila mkristo kuhakikisha mito ya uzima ndani yake haikauki. Na kuifanya...
  2. F

    Fazili amjibu Mhaya na kuna makubwa ya kujifunza katika mahojiano haya; siri za utajiri wa kimungu

    Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa. Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu. Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
  3. Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo. Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo...
  4. Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane. Iwe bhojo!
  5. Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  6. Hakuna siri kwa Mungu

    Mhubiri 12:14 Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au baya.
  7. C

    PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

    Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
  8. S

    Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

    Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
  9. SI KWELI Kakwenza Rukira aweka Makubaliano ya Siri na Umoja wa Ulaya kuhamasisha Ushoga Uganda

    Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika kuhamasisha ushoga nchini humo. Nakumbuka Uganda imezuia mahusiano ya jinsia moja na Rais Museveni...
  10. Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru. Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago. Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.
  11. Uchambuzi: Kuvuja kwa mazungumzo ya siri ya kamanda wa Ujerumani, Russia yaonyesha kuwa ipo juu katika medani ya ujasusi duniani, NATO washangaa

    Balozi wa Ujerumani alieko nchini Uingereza bwana Miguel Berger aliitwa katika ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ili atoe maelezo kuhusu kuvuja kwa rekodi ya mazungumzo ambayo kamanda wa jeshi la anga la Ujerumani alisikika akikiri kuwepo kwa vikosi vya jeshi la Uingereza nchini...
  12. Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  13. Hackers wadukua IG ya Chaumbea Soudybrown na kufichua Sura yake huku wakimtishia kutoa Mamilioni ya pesa ili wasifichue siri zake

    Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA. Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa...
  14. Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka 😅

    Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
  15. Upande wa Giza: Kila binadamu ana siri zake za kuficha

    Tunapozungumzia Dark Side, tunazungumzia upande wa giza. Kila unayemuona kwenye ulimwengu huu ana upande wake wa giza ambao hataki watu wengine waufahamu. Hata wewe unayesoma hapa una upande wako wa giza ambao hutaki watu waufahamu. Ndiyo! Ipo hivyo. Na ndiyo maana huwa ninawaambieni hakuna...
  16. Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  17. Siri nzito ya NATO imevuja; Kigogo wa NATO asilimu

    Wakati huu, Siri ya Kigogo wa NATO kua Muislam ipo wazi na sio siri tena. Mkurugenzi wa Habari wa NATO, Dk Murad Wilfried Hofmann. Dr Hoffman, aliukubali Uislamu na kutamka shahada katika Kituo cha Kiislamu cha Colonia kinachoongozwa na Imam Muhammad Ahmad Rasoul. Alizaliwa katika familia ya...
  18. S

    Siri ya kinachoitwa usaliti wa Kikwete kwa Lowassa

    Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye mwenye nguvu kuliko mtu mwingine yeyote kutoka ukanda huo,sasa kitendo cha CCM kumtosa kimewaumiza...
  19. Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

    Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda. Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9 Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
  20. Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

    Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga. Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…