Kama vile ujenzi wa kuficha paa ulivyo mashuhuri sikuhizi, kwa wengi kuficha paa kunaokoa gharama za mabati. Sinza combine ilikua ni muokozi wa gharama za mabati miaka ya 1990.
Ujenzi huu ukianza kuwa maarufu baada ya askari wetu walikokwenda kusaidia harakati za ukombozi za Frelimo huko...