sintofahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jukwaa la Uzalendo ladai kuna sintofahamu kuhusu Sh Bilioni 200 za Vijana

    Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini. Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
  2. Kifo cha Mohammed Kisingwe na Sintofahamu ya DCEA

    Kifo cha Mohamed Mohamed Kisingwe kimeibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu uhusiano kati ya vyombo vya dola na usalama wa raia. Tukio hilo, linalohusishwa na operesheni ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), limeacha maswali mengi yasiyo na majibu na hisia...
  3. Diplomasia ya Tanzania: Kutoka fahari hadi sintofahamu

    Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...
  4. GE2025 Ni muhimu polisi wafuate sheria za ukamataji ili kuondoa sintofahamu

    Imeshakuwa ni jambo la kawaida watu waliovaa kiraia na gari la kiraia kuondoka na mtu kisha baadae mnaambiwa alikuwa polisi. Wengine wanapotea kauli inatoka waliomkamata hawakuwa polisi. Huu mkanganyiko ni kwa kuwa mara nyingine inakuwa shida kutofautisha watu hawa, na itakuwa matokeo ndio...
  5. Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
  6. GE2025 Matokeo ya ushindi Kangi Lugola Jimbo la Mwibara yagubikwa na Sintofahamu

    Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
  7. W

    GE2025 Sintofahamu yatokea Jimbo la Mfenesini baada ya Kura kudaiwa kuongezeka

    Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56...
  8. ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

    Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
  9. Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  10. Nimebadili jina kutoka Bheka hadi kua Adiya ili kuondoa sintofahamu

    Habari zenu Watanzania wenzangu, Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa...
  11. Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  12. VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  13. Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  14. Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  15. Tetesi: Al-Hilal kumsajili Cristiano Ronaldo kama mbadala wa Neymar baada ya majeraha yake kuleta sintofahamu

    Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu hiyo ya Saudi Arabia inaangalia uwezekano wa kumuuza mchezaji huyo wa Brazil ambaye amekuwa...
  16. B

    Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

    17 October 2024 Geneva, Switzerland 🇨🇭 KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
  17. Dodoma: Uchaguzi wa Viongozi wa TLS umeingia Katika hali ya Sintofahamu, mfumo wa “Mjue Wakili” wagoma

    Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
  18. Sintofahamu vocha kupanda bei

    Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?🤔
  19. Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
  20. Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…